Harusi Season: Ulevi noma!!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Jamani mwezi wa 11 ni mwezi wa harusi nyingi sana.
Hakikisha dereva hanywi pombe wakati huo-hebu cheki wenzetu huko Kenya , dereva aliweka udirinki wa kutosha-wani fo ze rodi.
Misosi yote ikamwagika.
Ulevi nomaa
>

301538_2189242650567_1232128020_32225893_1965166852_n.jpg


294231_2189253090828_1232128020_32225898_967637609_n.jpg

kls-wmk.php
 
kumbe ni dereva tu nkajua bwana harusi.................bila shaka mambo yaliendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom