Harufu mbaya kutokea koo la hewa

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
608
196
Jamani yapata miezi 8 sasa kuna halufu mbaya nahisi ni makasi yameozeana kwenye njia ya hewa, Nakumbuka jinsi tatizo lilivyoanza,nilipata mafua nikameza codril kidonge 1 tu mafua yakawa kama yamekauka sikuendelea na dawa tena.

Baada ya wk kama 1 particles za mafua yenye halufu zinatoka.Hostpal walinipatia amoxil but hazikusaidia.

NAOMBEN4 MNISAIDIE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom