Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Modeli za maendeleo za Tanzania ni 'evolutionary' na sio 'revolutionary'. Na kwa kawaida michakato ya ki-evolutionary inachukua karne kadhaa kuleta mabadiliko. Tunahitaji watu kama kina Hugo Chavez kuleta 'revolutionary' change!
Haa !!!!!! naona unakaribia ukweli. Lakini za revolutionary sio zinazohitajika. Zinazohitajika ni Engineered Development Models.