Harakati chafu za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

Vita
HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.

Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai kituo chake cha kazi Mbeya badala yake yupo kila mwezi anakwenda Ruvuma kufanya kampeni za Ubunge wake 2025 Jimbo la Namtumbo.

Hivi sasa yuko Songea Mjini na kazi yake kubwa kukipasua Chama cha Mapinduzi na Serikali ya Wilaya ya Namtumbo akiwa baraka za RC wa Mkoa wa Ruvuma.

JUMA Homera ana nia ya kugombea ubunge jimbo la Namtumbo kwa ticket ya CCM 2025 tatizo njia anazotumia sio njia sahihi na sio njia salama kwa chama hichonm. Anachofanya anadhani anahangaika na Mbunge wa sasa Vita Kawawa kumbe anakidhohofisha chama kwa kutengeneza makundi ambayo siyo afya kwa chama cha mapinduzi kwa sasa kwani huu ni mwaka wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Amekuwa anawaita Wazee wa wilaya ya Namtumbo kwenda Mjini Songea ambapo ameweka kambi ya kugawa Rushwa kwa wazee hao na makundi mengine mbalimbali ya Wilaya ya Namtumbo kwa lengo la kuungwa mkono huku akiwaaminisha viongozi na watu hao kuwa Serikali haijafanya kitu Namtumbo chini ya Mbunge wa sasa. Hii ni hatari kwa chama kwani muda wa kampeni bado haujafika lkn pia chama kinakataza kutoa na kupokea Rushwa. Juma Homera amekuwa muumini wa kuamini Rushwa ndio ushindi.

Ndugu Homera ameanzisha Kampeni chafu za rushwa jambo ambalo linahatarisha umoja na mshikamano uliopo hivi sasa katika CCM Wilaya ya Namtumbo japo hizo nguvu haonekani kuwa nazo kihivyo lakini hatua chafu za rushwa zinapaswa kukemewa.

Ikumbwe Juma Homera ameanzisha Redio ktk Wilaya ya Namtumbo ambayo inatumika vibaya kwasababu anakiuka misingi na sheria za uanzishwaji wa Redio.hutumia Redio hiyo kufanya kampeni zake jambo ambalo ni kosa kisheria kutumia Redio yako kisiasa TCRA inabidi watupie jicho utendaji wa radio hiyo.

Hivi karibuni wakati wa ziara ya Mwenezi wa CCM Wilaya ya Namtumbo aliandaa vijana kupita kuhoji watu ili kuonyesha Mbunge wa sasa hakubaliki na alitumia site TV kufanya hivyo zoezi hilo halikufanikiwa kwasababu wananchi walichukua akili za kuambiwa wakachanganya na zao wakagoma kutumiwa.haikutosha Juma Homera kupitia Ndugu yake Mwalimu alimtumia kugawa pesa kwa vijana wa bodaboda ili wamzomee Mh Vita pindi Mh Makonda atakapo wasili Namtumbo lkn vijana wakala pesa yake na hawakufanya hivyo. kwa kuwa Mh Makonda alikuwa na taarifa za mpango huo wa Juma Homera alipo simama Namtumbo aliuliza mna tatizo na Mbunge wenu watu wooote wakasema hakunaaaaaa akasema mlindeni Mh Vita. Hivi kuna tija gani katika kumzomea mtu anayefanyakazi na viongozi wa Serikali na Chama Tawala kuchagiza maendeleo na utekelezaji wa Ilani ya CCM? Hizi ni siasa za kitoto zinatakiwa kukemewa.

Hivi sasa RC Homera wa Mbeya yupo Songea mjini anafanya kampeni na anawaita Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM Wilaya na Viongozi wa CCM Wilaya ya Namtumbo na kuwagawia pesa na kufanya nao vikao na wajumbe hao kinyumbe na kanuni na taratibu za chama bahati mbaya kwake wajumbe hao wakitoka wanasema yote waliyoambiwa na mimi ni mmoja wai. tmTunaiomba Takukuru Mkoa na Wilaya kufuatilia vitendo hivi na kumkamata muhusika na kumchukulia hatua kwani ushahidi wa watu walio pokea pesa na kalenda upo na tuko tayari kusema ukweli kukomesha vitenda vya kutuvuruga sisi tunataka maendeleo sio senti ukinunua sukari imekwisha. Cha ajabu eneo linalotumika kufanya vitendo hivyo vya ukiukwaji wa maadili na ushahidi mwingine mwingi wa dhahili na wakimazingira upo.

Amekuwa akieleza wajumbe kuwa katumwa na Mh. Rais kugombea jimbo . Hivi kweli inaingia akilini Mh. Rais kuwatuma wagombea ubunge wakafanye kampeni za kukibomoa chama na kudhalilisha kazi za utekelezaji wa ilani zinazoendelea nchi nzima?

Ktk safari hizo hutumia Gari la RC Mbeya na gari zingine za pale mkoani tunazo namba za gari hizo na majina ya madereva husika ambazo gari hizo zinatumika kwenye harakati zake za kisiasa kinyume na sheria.lkn hii inaonyesha ameshindwa kazi aliyopewa na Mh Rais ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya badala yake yupo katika harakati za Ubunge ambao muda wake kisheria haujafika hivyo kila mwezi anauacha mkoa anaohudumia kukimbilia kampeni za ubunge.

Hii inaonyesha ameshindwa kazi za mkoa wake sababu yuko kwenye harakati za kutafuta ubunge. Anakutana na wapiga kura na kuwapa pesa. Anatumia wahuni kuharibu kazi za Mbunge wa CCM kuonyesha chama hakijafanya kazi na Serikali yake. Hali ambayo itawagawa wana CCM . Namshauri atulie atumikie cheo alichopewa na Rais kwani ni heshima kubwa amepewa sio lazima mtu mmoja kulazimisha kutumikia vyeo viwili kwa wakati mmoja mkoa na jimbo lazima kimoja kitaumia kama tunavyo dhani Mbeya inaumia.

Uongozi wa chama Wilaya uwe makini na mtu anae eneza chuki zakutaka kuharibu kazi nzuri ya ilani ya chama iliyofanywa na Rais na Mbunge aliopo madarakani kwasasa. Ikemee wahuni kama wanao waza kwa tumbo nasio kichwa kwanini watoe rushwa ? .vyombo vya ulinzi na usalama tupieni jicho jambo hili kwa mtu anae haribu kazi kubwa iliyo fanywa na Serikali ya Rais Samia na chama cha mapinduzi kwakusema Namtumbo hakujafanyika lolote anamchonganisha Rais na wananchi lakini pia kwa kusema hayo anaonyesha RC Ruvuma na viongozi wa Wilaya hawajasimamia utekelezaji?

Yeye kwa akili yake anafikiri anamchonganisha mbunge na wananchi Kumbe utekelezaji wa ilani ni wa serikali ya ccm chini ya Rais Samia kwa kushirikiana na viongozi wa mkoa na Wilaya akiwemo Mbunge na MadiwanVita Kawawa acha tamaa.Babako hakuwa hivyo.
 
Yeye kwa akili yake anafikiri anamchonganisha mbunge na wananchi Kumbe utekelezaji wa ilani ni wa serikali ya ccm chini ya Rais Samia kwa kushirikiana na viongozi wa mkoa na Wilaya akiwemo Mbunge na Madiwani.
Acha kumchafua, kama una msuli compete naye.
 
Kuna mambo mengi yanakwama hapa Mbeya. Wananchi bado wanalalamika na Gharama za Maisha, Sukari haishikiki.

Mtu ambaye angesaidiana na Wakuu wa Wilaya kusimamia haya ni Mkuu wa Mkoa. Ajajbu mkuu wa Mkoa anamaliza hata Wiki mbili yupo Songea na Namtumbo kufanya Ushawishi wa Ubunge ili agombee.

Watu kama hawa wanashindwa kumsaidia rais kila siku Malalamiko. Hakuna anayejali Mwananchi wa Kawaida.

Rais anatakiwa awachunguze wateule wake. Yeye anajua ana mtu Mbeya kumbe ni bure.

Homera achague moja Ubunge au Ukuu wa Mkoa. Sababu anawaumiza Wananchi wa Kawaida. Hizo hela anazogawa huko si atujengee barabara Korofi japo tumkumbuke kwa hilo?

Kila ukienda Ofisini kwake hayupo, Ukiuliza yupo wapi wanasema kaenda Namtumbo Mkoa wa Ruvuma kufanya vikao vya chama.

Kwani Mkoa wa Ruvuma hauna Mkuu wa Mkoa?

Na hii Rais Samia akijua anaweza kupoteza hata huo ukuu wa Mkoa.
 
Tulishasema Wakuu wa Mikoa hawana kazi. Kwenye Katiba Mpya watakuwa redundant.

Na ukweli ndiyo huo, hayupo Mbey na mkoa haujatikisika.
 
Unamsagia kunguni sio. Homera hatolewi hapo, angekuwa mto tofauti wangeshakula kichwa tokea mwaka jana Rais alipokuja hapo. Lakini mama hana baya.

Kuhusu kuondoka ondoka hiyo haina shida maana hata Rais hajakaa nchini siku za kutosha tu na mambo yanaenda. Itakuwa mkoa wa Mbeya.

Muachani akatafute marisho mapya awaachie nafasi wengine hapo.
 
Mnamnanga tena?Siyo huyo aliyemwagiwa sifa kama gunia nne kwa ufanyaji kazi mwema?NB;Sukari na umeme mmefikia wapi huko?
 
Kuna mambo mengi yanakwama hapa Mbeya. Wananchi bado wanalalamika na Gharama za Maisha, Sukari haishikiki.

Mtu ambaye angesaidiana na Wakuu wa Wilaya kusimamia haya ni Mkuu wa Mkoa. Ajajbu mkuu wa Mkoa anamaliza hata Wiki mbili yupo Songea na Namtumbo kufanya Ushawishi wa Ubunge ili agombee.

Watu kama hawa wanashindwa kumsaidia rais kila siku Malalamiko. Hakuna anayejali Mwananchi wa Kawaida.

Rais anatakiwa awachunguze wateule wake. Yeye anajua ana mtu Mbeya kumbe ni bure.

Homera achague moja Ubunge au Ukuu wa Mkoa. Sababu anawaumiza Wananchi wa Kawaida. Hizo hela anazogawa huko si atujengee barabara Korofi japo tumkumbuke kwa hilo?

Kila ukienda Ofisini kwake hayupo, Ukiuliza yupo wapi wanasema kaenda Namtumbo Mkoa wa Ruvuma kufanya vikao vya chama.

Kwani Mkoa wa Ruvuma hauna Mkuu wa Mkoa?

Na hii Rais Samia akijua anaweza kupoteza hata huo ukuu wa Mkoa.
Mwandishi inaonekana wewe ni mpambe wa Mbunge wa sasa wa jimbo la Namtumbo maana kwa namna ulivyoandika ni wazi lengo ni kumchafua RC-Juma Homera.
Sukari kwa sasa ni issue ya Kitaifa mpaka Waziri mwenyewe hana majibu ndio itakua RC !
Umeandika kuwa watu wanamtafuta RC ofisini hayupo je hakuna anayekua ameachiwa ofisi na RC ?
Je wanakwenda kumtafuta RC au Juma Homera. Maana RC akisafiri RAS yupo na ndiye mtandaji mkuu wa Serikali ndani ya Mkoa.
Muda huohuo unaandika kuwa RC-Juma Homera anatoa rushwa huko Namtumbo..yaani hapo hapo una shida na RC-Juma Homera kule Mbeya muda huo huo una taarifa za yeye kutoa rushwa na kutengeneza mtandao kuelekea uchaguzi 2025 ?
Mwambie Mbunge wako aendelee kuzichanga karata vizuri badala ya kukutuma kuchafua watu.
Kwa namna ulivyoandika iko wazi sana kuwa wewe upo upande wa Mh: Vita Kawawa na lengo lako ni kumdhoofisha J.Homera.
 
Unamsagia kunguni sio. Homera hatolewi hapo, angekuwa mto tofauti wangeshakula kichwa tokea mwaka jana Rais alipokuja hapo. Lakini mama hana baya.

Kuhusu kuondoka ondoka hiyo haina shida maana hata Rais hajakaa nchini siku za kutosha tu na mambo yanaenda. Itakuwa mkoa wa Mbeya.

Muachani akatafute marisho mapya awaachie nafasi wengine hapo.

Wapiga kura wa CCM
 
Kuna mambo mengi yanakwama hapa Mbeya. Wananchi bado wanalalamika na Gharama za Maisha, Sukari haishikiki.

Mtu ambaye angesaidiana na Wakuu wa Wilaya kusimamia haya ni Mkuu wa Mkoa. Ajajbu mkuu wa Mkoa anamaliza hata Wiki mbili yupo Songea na Namtumbo kufanya Ushawishi wa Ubunge ili agombee.

Watu kama hawa wanashindwa kumsaidia rais kila siku Malalamiko. Hakuna anayejali Mwananchi wa Kawaida.

Rais anatakiwa awachunguze wateule wake. Yeye anajua ana mtu Mbeya kumbe ni bure.

Homera achague moja Ubunge au Ukuu wa Mkoa. Sababu anawaumiza Wananchi wa Kawaida. Hizo hela anazogawa huko si atujengee barabara Korofi japo tumkumbuke kwa hilo?

Kila ukienda Ofisini kwake hayupo, Ukiuliza yupo wapi wanasema kaenda Namtumbo Mkoa wa Ruvuma kufanya vikao vya chama.

Kwani Mkoa wa Ruvuma hauna Mkuu wa Mkoa?

Na hii Rais Samia akijua anaweza kupoteza hata huo ukuu wa Mkoa.
Rais anaona ila huwa hafanyii kazi majungu
 
images.jpeg-3.jpg

Mnamwonea Homera, huyu ni kijana poa sana, hana maringo, msikivu na hana makundi.
Inaelekea wewe uliye Ruvuma unamuogopa.
 
Kuna mambo mengi yanakwama hapa Mbeya. Wananchi bado wanalalamika na Gharama za Maisha, Sukari haishikiki.

Mtu ambaye angesaidiana na Wakuu wa Wilaya kusimamia haya ni Mkuu wa Mkoa. Ajajbu mkuu wa Mkoa anamaliza hata Wiki mbili yupo Songea na Namtumbo kufanya Ushawishi wa Ubunge ili agombee.

Watu kama hawa wanashindwa kumsaidia rais kila siku Malalamiko. Hakuna anayejali Mwananchi wa Kawaida.

Rais anatakiwa awachunguze wateule wake. Yeye anajua ana mtu Mbeya kumbe ni bure.

Homera achague moja Ubunge au Ukuu wa Mkoa. Sababu anawaumiza Wananchi wa Kawaida. Hizo hela anazogawa huko si atujengee barabara Korofi japo tumkumbuke kwa hilo?

Kila ukienda Ofisini kwake hayupo, Ukiuliza yupo wapi wanasema kaenda Namtumbo Mkoa wa Ruvuma kufanya vikao vya chama.

Kwani Mkoa wa Ruvuma hauna Mkuu wa Mkoa?

Na hii Rais Samia akijua anaweza kupoteza hata huo ukuu wa Mkoa.
Kwani Homera ndo aliyesababisha ukosefu wa sukari nchini?Mwulizeni Raisi kwa nini hakuna sukari.Nyinyi wananchi wa mbeya mna shida sana.Tatizo ni ukabila unawasumbua.sukari iko hapo tunduma,kyera tena nyingi tu si mkanunue huko?Najua TRA wanasumbua sana kuingiza hiyo sukari lakini si kuna njia nyingi tu za panya?Kama nchi haifuati sheria kwa nini wananchi wazifuate!
 
Back
Top Bottom