Ikawaje tena baada ya :A S 100: ukapotea ghafla?
Nini tena binamu au mambo ya weekend acheni infi....... zitawaua
Lakini ile shughuli si imeisha au bado unajenga mazingira kwanza maana hizo shughuli ndio zenyewe kwa INFI
HAhahahahah!layball:layball:layball:layball:layball:layball:layball:Si unajua mida ile ni kujiandaa ila jana mpwa game bila bila halafu lilikuwa game la mchangani mtu alikuwa analalamika tumbo linamuuma ikabidi mpwa asikilizie maumivu tu moyoni nilikuwa :fencingia :mad2: nikasema poa haina noma
Hiki kiuno kinahitaji matibabu kabambe kama kukandwa n.k
HAhahahahah!layball:layball:layball:layball:layball:layball:layball:
Hiki kiuno kinahitaji matibabu kabambe kama kukandwa n.k
HAPPY BIRTHDAY MY DIAZ................God bless you all:A S 8:
:becky::becky::becky: Jana nili:A S 100::A S 100: na wapwaz walikuwa wana du ze nidful ndio wakanipa habari ya huko
Yaani mpaka kiuno kimeteguka huku Chuda noma
Ndio maana tunashauriwa tuwe na PLAN B! incase ofu imejensi!Halafu nilivyokuwa nimejikoki kama promotion za TIGO vile
Nenda kule alikoenda Aspirin sikumbuki jina alipata huduma nzuri na pia unaweza kuendeleza infidelity ukishakandwa unaanza upya.
Nenda kule alikoenda Aspirin sikumbuki jina alipata huduma nzuri na pia unaweza kuendeleza infidelity ukishakandwa unaanza upya.
Ndio maana tunashauriwa tuwe na PLAN B! incase ofu imejensi!
Ndio maana tunashauriwa tuwe na PLAN B! incase ofu imejensi!
Huku Chuda ukija mtu kama wewe utaomba uhamie mm ilikuwa kazi ikabidi Dr. aning'oe kinguvu
:confused2::confused2: why :A S 8:??Hepi besdei Teamo, Carmel A S 8 na Born Town......
Zero pub......
mwambie hatuji mpaka logistics zote zikamilike:becky::becky:Nitafunga safari nije either na ASPRIN au TEAMO