Happybirthday to Teamo and I.

Ikawaje tena baada ya :A S 100: ukapotea ghafla?

Si unajua mida ile ni kujiandaa ila jana mpwa game bila bila halafu lilikuwa game la mchangani mtu alikuwa analalamika tumbo linamuuma ikabidi mpwa asikilizie maumivu tu moyoni nilikuwa :fencing:pia :mad2: nikasema poa haina noma
 
HAhahahahah!:playball::playball::playball::playball::playball::playball::playball:
 
:becky::becky::becky: Jana nili:A S 100::A S 100: na wapwaz walikuwa wana du ze nidful ndio wakanipa habari ya huko

Huku Chuda ukija mtu kama wewe utaomba uhamie mm ilikuwa kazi ikabidi Dr. aning'oe kinguvu
 
Nenda kule alikoenda Aspirin sikumbuki jina alipata huduma nzuri na pia unaweza kuendeleza infidelity ukishakandwa unaanza upya.

Umenikimbusha na mimi ngoja nimuulize mpwa wangu Asprin ili sehemu aliyoenda kupata matibabu kipindi kile ilikuwa ni wapi na maeneo gani
 
Hepi besdei Teamo, Carmel :)A S 8:) na Born Town......
Zero pub......
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom