Happy Maths Day!

Maths day!? Ningekua mwanafunzi ninge dodge leo. Najua kungekua na quiz kama sio test!
 
Dah!hv kwanini walimu wanaofundisha hesabu huwawakorofi na wanachapa bila mpangilio?Mwalimu wangu wa hesabu aliniharibia kipaji changu nilikuwa mkali.
 
maths-muhogo mchungu!
Ila nashkuru ilikua inapanda, w'ke wengi tunabwagwa na w'ume kwenye maths hata sijui kwa nn???
 
Hivi unajua ukimmwaga mtu ni umemcalculus?
Umemlet=C, where is costant. Afu ukamdifferentiate = 0.

Maisha ya kila siku ni hisabati tu.
sipendi calculus....napenda pesa peke yake....

 
...naogopa namberz.!..hata nikiona mwalimu anaandika tarehe ubaoni naanza kushtuka!...NUMBERS!
 
Dah!hv kwanini walimu wanaofundisha hesabu huwawakorofi na wanachapa bila mpangilio?Mwalimu wangu wa hesabu aliniharibia kipaji changu nilikuwa mkali.
Sidhani, ilikuwa bahati mbaya tu.
Mie mwalimu wangu alikuwa mpole,na alikuwa anapenda wanafunzi wake sana

maths-muhogo mchungu!
Ila nashkuru ilikua inapanda, w'ke wengi tunabwagwa na w'ume kwenye maths hata sijui kwa nn???
Kwa sababu wanawake wamekuwa socialised kuwa, vitu vinavyohitaji bidii au akilio ni kwa ajili ya wanamme.
Ila kwa nchi zilizoendelea sidhani kama kuna hali hii

Maths NO aisee japo haikwepekeki maishan!!
Umeona Canta, hata kumuiba Rejao ulitumia Topic la Logic.
Ukatufanya mie na Smile kuwa Fallacy
 
Nimesikia katika vyombo vya habari
Leo Tarehe 14 March 2012 ni siku ya hesabu
Changamoto iliyosema ni pamoja kwa ufaulu wa hisababi kuendelea kushuka Tanzania

Inabidi tuhimize kizazi hiki kipende hesabu.

Happy Maths Day!

Hesabu ni ugonjwa wa taifa...
 
Hawa walimu wa voda fasta nao ni kuwabebesha mzigo mkubwa kuliko wanachoweza fanya.
Nadhani hisababi haina kipaumbele tena.

Kumbuka zamani kulikuwa na kitabu cha hisabati za kiwetu, darasa la saba bila kukimaliza hicho kabla ya mtihani anajiona hajafanya lolote. Watoto walikuwa na competition nyingi sana.

uko sawa kabisa kong.., lilelikitabu nimelitumia sana kipindi hicho ila sikumbuki kama nililimaliza lote...
 
Dah, basi huko kwetu ilikuwa kama mashindano.
Hujamaliza 'kusovu hisabati za kikwetu'?

uko sawa kabisa kong.., lilelikitabu nimelitumia sana kipindi hicho ila sikumbuki kama nililimaliza lote...
 
Kitu cha Pure, mie Coordinate Geometr 1 na 2 zilinipita kushoto, na sikuwa nazipenda hata, ila Differential eqn na Hyperbolic fnc, nilikuwa mzima sana..
 
ec92ae41df80abcfafda1860e6719c25.png


0302486962619ed1831cc4d8f54235a7.png


..Mambo yote iko hapo juu, ukisikia watu wanahama combination wanaenda Arts ujue ni kwasababu na hizo nyoka hapo juu.
....Damn.. I Love Mathematics
 
Then it wont b bad 2 share a joke o 2 abt math would t? There was a party in Calculus Night club n ol the functions were invited in. After some time parting 'In x' noticed poor 'e^x' sitting alone in the corner so 'In(x)' went over and asked
In(x):Hey why are you sitting alone overhere,go differentiate and intergrate ur self with the others!

e^x:What's the difference!
Haha u'll atleast smile if u get t! Happy day fellow Geeks N nerds
 
Back
Top Bottom