Happy Maths Day!

nakumbuka ndo ilikuwa Avatar yangu ya kwanza
View attachment 49324

Uwiii
Hapo ndo hesabu hukimbiza watu
Graph kama hii hutisha bana
Kama unafikiri hizo ndo hesabu, ngoja nikuonyeshe umahiri wa hisabati wa ODM...

Unazijua hesabu wewe?

Je unajua kuwa 2 = 1?

Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema 2(x-y) = (x-y)
kwamba 2(x-y)/(x-y) = (x-y)/(x-y)
Na hiyo inathibitisha kuwa 2 = 1
Kwa wasiojua hesabu watabaki wanatoa mimacho, hawaelewi kitu halafu bahati mbaya watabisha!

Good Day Mathematicians!
 
Ila yana raha yake
Hasa yanapokuwa yanaenda

Mie nililipenda sana hili somo lol

Hasa yakiwa yanapanda kwa mustakabali kama huu:

Question

A mother is 21 years older than the child.
6 years from now the mother will be 5 times as old as the child.

Question : Where's the father?
Try first, before you check the answer below.

*

*

*

*

*

*

Umekwama? Ngoja nikusaidie:

Solution:
The mother is 21 years older than the child. Let the mother be M and the Child be C
M = C + 21
In 6 years from now the mum will be 5 times as old as the child.
M + 6 = (C + 6) x 5

Hence,
C + 21 + 6 = (C + 6) x 5
C + 27 = 5C + 30
-3 = 4C
C = -3/4

The child is -3/4 years old, that is, it'll be born in 9 months.

Thus.. by mathematical deduction....
Right now, the father is on top of the mother... hahahahahaha!!! Got You?

Kama kawaida, wasiojua hesabu watabisha na wengine watabaki wametoa mimacho.

Good Day my fellow mathematicians!
 
Thus.. by mathematical deduction....
Right now, the father is on top of the mother:shut-mouth::cheer2::shut-mouth:... hahahahahaha!!! Got You?

Kama kawaida, wasiojua hesabu watabisha na wengine watabaki wametoa mimacho.

Good Day my fellow mathematicians!

Ha ha ha ha, you must be out of your mind ODM.
Nimecheka kwa loud speaker lol
 
Superman namuona mawinguni tu
Hataki kushuka, naona kaenda kukaba wafadhili.
Akija tu nakushtua!

Au tukutane tu hivyo hivyo
Nikifika hapo, hatutakosa cha kufanya.
Ushacheki na Superman?

Hicho kicheko kinafaa kushushiwa na Tusker Malt bana....
 
Superman namuona mawinguni tu
Hataki kushuka, naona kaenda kukaba wafadhili.
Akija tu nakushtua!

Au tukutane tu hivyo hivyo
Nikifika hapo, hatutakosa cha kufanya.
Cha kufanya kikiwa na mwongozo wa Tusker Malt ndo kinanoga nawe.... Hesabu zinakupiga chenga au?:violin:
 
Unajua hizi hesabu za kuongeza kwa kichwani sikuzipitia
Nilianzia fomu wani.

Ngoja nifanye tukio hapa nilipo
Naweza pata chochote, tukapata kianzio cha Tusker Malt
Felo tabulet atakuja kutuongezea.

Warning: Hakuna kuibiana bunduki zetu na pete
Nitatumia 'door theory'

Hapo kwenye bold ndo maana Kongosho akawa asali ya ODM....
Nimezidi kupata utamu wako...

Sasa warning hiyo tena ya nini? Hatutaibiana je kubadilishana nako haifai?
Angalizo: Ntakuwa na kale kakaptula kangu ka enzi zetu zile, nawe usisahau kale kadude kako ka zambarau.
 
Kubadilishana kwa hiari ruksa
Kuzigonganisha kama chiazi ruksa

Tena nimekabeba kwenye mkoba, ili kasije kakajikunja bure.

Sasa warning hiyo tena ya nini? Hatutaibiana je kubadilishana nako haifai?
Angalizo: Ntakuwa na kale kakaptula kangu ka enzi zetu zile, nawe usisahau kale kadude kako ka zambarau.
 
Back
Top Bottom