Ila mkuu ni MERRY X-MASS AND HAPPY NEW YEAR na si HAPPY X-MASS.*Wana JF wote, ninawatakieni maadhimisho ya Krisma na
Sherehe njema za Mwaka Mpya.
View attachment 43779
Kwa kuwa hamna kitufe ninakugongea ya maandishi.Mamammia... Asante saana!
Wishing the same to you...
:A S 465:...May it be happy Holidays for you and your family...:A S 465:
Asante sana Mkuu,
japo kwetu mchele kilo ni 2,200, sukari 2,400, maharage 2,400
nyama sijui, je tutaweza kula hata huo wali mkuu wangu.
Thanx Keren_Happuch!Asante sana Mammamia.
Nami napenda niwatakie wana JF wote, especially my dear friends, MMU members, sikukuu njema na heri ya mwaka mpya 2012!
Stay blessed.
Tusikate tamaa Mkuu! Inasemwa kuwa "Msi wake ana Mungu"
Na Mungu ni Mkubwa wa kuweza kuyafanya matatizo yetu kuwa nafuu.
Ninawaombea wote walio katika hali mbaya Mungu awafungule milango ya baraka na furaha.