Bilionaire kekeman
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 142
- 823
Merry Christmas and happy new year,
Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu awaendelee kuwapigania muendelee kupata mafanikio zaidi kwa mwaka ujao.
Naomba mungu mwakani bwana pascal mayala aweze kuteuliwa hata mkuu wa wilaya au cheo chochote cha siasa.
"Pascal, Lumumbashi na Gaganiga merry Christmas and happy new year"