kakuruvi JF-Expert Member Sep 2, 2009 770 256 Aug 1, 2012 #1 Jamaa akiwa anamdai mwenzake kwa muda mrefu alimfuata kumkumbusha na kutaka kulipwa, mazungumzo yalikuwa hivi; Jamaa - unajua lile deni letu leo linafikisha mwaka sasa? Mwenzake - Basi tuliimbie happy birthday!!
Jamaa akiwa anamdai mwenzake kwa muda mrefu alimfuata kumkumbusha na kutaka kulipwa, mazungumzo yalikuwa hivi; Jamaa - unajua lile deni letu leo linafikisha mwaka sasa? Mwenzake - Basi tuliimbie happy birthday!!
Eversmilin Gal JF-Expert Member Feb 5, 2012 778 269 Aug 1, 2012 #5 unaweza ukapelekwa segerea hivihivi ukute hapo una shida na hiyo hela halafu mwenzio analeta masihara
unaweza ukapelekwa segerea hivihivi ukute hapo una shida na hiyo hela halafu mwenzio analeta masihara
M mkizungo JF-Expert Member Apr 6, 2012 246 52 Aug 1, 2012 #6 namtemea usoni,,,si unajua mate yanavyouma,,,naye aumie,,,lol
kakuruvi JF-Expert Member Sep 2, 2009 770 256 Aug 2, 2012 Thread starter #8 Eversmilin Gal said: unaweza ukapelekwa segerea hivihivi ukute hapo una shida na hiyo hela halafu mwenzio analeta masihara Click to expand... Unaweza ukapiga wee mpaka ukauwa!
Eversmilin Gal said: unaweza ukapelekwa segerea hivihivi ukute hapo una shida na hiyo hela halafu mwenzio analeta masihara Click to expand... Unaweza ukapiga wee mpaka ukauwa!
kakuruvi JF-Expert Member Sep 2, 2009 770 256 Aug 2, 2012 Thread starter #9 mkizungo said: namtemea usoni,,,si unajua mate yanavyouma,,,naye aumie,,,lol Click to expand... Ukifanya hivyo atapata sababu ya kutolipa kabisa.
mkizungo said: namtemea usoni,,,si unajua mate yanavyouma,,,naye aumie,,,lol Click to expand... Ukifanya hivyo atapata sababu ya kutolipa kabisa.
kakuruvi JF-Expert Member Sep 2, 2009 770 256 Aug 2, 2012 Thread starter #10 Man KKK said: piga bunduki uyo Click to expand... Vumilia tu akifa utakosa haki yako.