sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
We Bishanga koma!The Finest,kila siku nakwambia uache ushingo feni,ona sasa umelikoroga tena,mama wa watu kajikunja liboquet la nguvu na mashairi ya ukweli kisha we macho mia mia,mwone pua kama la Rejao na domo kama la nitonye!
Last edited by a moderator: