Happy Birthday The Finest

Happy Birthday Brother
Ninakuombea kwa Muumba Maisha Marefu
Yaliyojaa Uzima, Afya, Baraka na Furaha.

Happy Birthday yako imeleta baraka, hata wadogo zangu akina AshaDii na afrodenzi waliokuwa hawaonekani kwa kitambo wameibuka kutoka kusikojulikana. Ningetamani uwe unaadhimisha hii siku kila siku ili wasipotee sana. Anyway, nimepata wazo - ikitimia wiki mbili siwaoni nnakuanzishia uzi wa basidei. Asante sana Mr Rocky kwa kuanzisha huu uzi.

PS: I confess:
Nimechelewa kukutakia heri kwani jana niliamkia, nikashinda na kulala katika jukwaa lile la "Kuumisha kichwa", salama sikutoka na BAN - lol.

MAMMAMIA hata huyu alikuwa haonekani jamvini
huu uzi ndio umeenda mukuibua alikokuwa
Asante sana na karibu pia jamvini maana siku nyingi sijakuona
Miss u sana
 
Asante mkuu MAMMAMIA..lol
Ubarikiwe sana Mkuu!

MAMMAMIA salamu nyingi zikufikie mkuu , nafurahi kukuona jamvini tena..
Hope you are well...
Asante sana. Im OK. Furaha ni yangu zaidi.

MAMMAMIA hata huyu alikuwa haonekani jamvini
huu uzi ndio umeenda mukuibua alikokuwa
Asante sana na karibu pia jamvini maana siku nyingi sijakuona
Miss u sana
Mr Rocky! Kila siku nazidi kuamini kuwa JF ni Jukwaa la Familia, ni nyumbani, ni darasa [Regia Mtema: R.I.P.], kwani licha ya kupotea kwetu, linapotokea lolote la kifamilia, tunakutana, tunapongezana, tunapeana pole. Mungu aibariki familia yetu hii.
 
Siku na miezi imepita
Leo ni siku pekee katika maisha yako
Siku ambayo mama yetu mpendwa alikuleta duniani
Ni furaha yetu sote kusherehekea pamoja na wewe na kukupongeza kwa siku hii njema katika maisha yako
Siku ya kukumbuka kuzaliwa kwako
Tunakuombea maisha marefu na yenye furaha Mungu akikutangulia katika yote
Happy Birthday The Finest.

Mr Rocky mbona hukunitaga mwenzangu nusura nipitwe yaani kama AshaDii asingelinitag huu uzi ungelinipita..........

Happy birth Day dear The Finest...............
 
Last edited by a moderator:
AshaDii naomba nichakachue siredi hii
Mekumiss sana aise
Yaani naona nyota nyota nisipokuona
Ruta yuaja na mashairi
Kukuimbia wewe mwandani

Nasema lilo moyoni
Kukukosa ni kosa lenye utashi

Yaani wewe Mr Rocky hizi tenzi zangu mie simwimbii mtu wajamani.........acha kumtia khofu AshaDii.........asije akafikiri ninaipigia mahesabu ile ndude yake...........LOL
 
Last edited by a moderator:
Oh' R' I have missed you too dear, Pole hopefully hukuzimia tu Rocky mana bado we need you. Yaani Rutashubanyuma na MziziMkavu hawa kaka zangu wamenitag hizo threads, inatakiwa utulivu hadi kuweza pata nafasi ya kuzisoma tena. Hii tagging naona hakuna kupitwa hata kama haupo lol.

soma ndugu yangu; AshaDii, wakati ni huu!
 
Last edited by a moderator:
Ubarikiwe sana Mkuu!

Asante sana. Im OK. Furaha ni yangu zaidi.

Mr Rocky! Kila siku nazidi kuamini kuwa JF ni Jukwaa la Familia, ni nyumbani, ni darasa [Regia Mtema: R.I.P.], kwani licha ya kupotea kwetu, linapotokea lolote la kifamilia, tunakutana, tunapongezana, tunapeana pole. Mungu aibariki familia yetu hii.

MAMMAMIA kweli JF ni zaidi ya familia na mambo kama haya yafaa kukumbukana kila tupatapo nafasi

Mr Rocky mbona hukunitaga mwenzangu nusura nipitwe yaani kama AshaDii asingelinitag huu uzi ungelinipita..........

Happy birth Day dear The Finest...............

Yaani wewe Mr Rocky hizi tenzi zangu mie simwimbii mtu wajamani.........acha kumtia khofu AshaDii.........asije akafikiri ninaipigia mahesabu ile ndude yake...........LOL

Rutashumanyuma sikusema lilo moyoni mwako
Nimesema yalo jiri mtaani kwako
Kuweka tenzi za kwako
Si lazima useme wazi lilo moyoni mwako
Yafaa kuyasema yale unayoona kwako
Kuwa muda wake umefika
Rutashumanyuma utenziwe tumeupata
 
Lol Mr Rocky kumbe una kipaji aisee.....
Ushawaki kushiriki kipindi cha Malenga wetu RTD enzi zile?????
Hahahahaaaa naona umejaza vina na mizani:clap2:
 
Last edited by a moderator:
Lol Mr Rocky kumbe una kipaji aisee.....
Ushawaki kushiriki kipindi cha Malenga wetu RTD enzi zile?????
Hahahahaaaa naona umejaza vina na mizani:clap2:

Erickb52 sikuwahi fika huko
Ila kusikiliza ilibidi tufike huko
Kuyasema ya Rutashubanyuma
Imebidi kwa kuwa yanasemeka
Katoa lililo moyoni mwake
Tumsifu kwa hilo la kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom