Happy Birthday PRETA

Dah! Hadi wivu jamani.... Nice selection Mungi....
Me watcghing you closely ujue....

BTT: Happy Birthday my dear sister Preta........ Yaani dah! Ako miaka ngapi sasa?

Hivi hawa baba zetu inaelekea walikuwa wanapenda sana kuwalala mama zetu mwezi May.... Lakini yaelekea baba yangu alikuwa mjanja kuliko baba za wengine kwamba aliwahi kumlala mama yangu wakati baba za wengine wakiwa wako shamba wanalima...... Uthibitisho uko wazi, mie ndo wa kwanza kutakiwa happy birthday mwaka huu..... (Source: Ashadii, January 21st)

Baada ya kusema hayo. ADI hebu come this way tufanye mpango wa mnuso,
 
Happy Birthday!!
bullet.gif
May this year be your best ever.

bullet.gif
I hope all your birthday dreams and wishes come true.

bullet.gif
Not just a year older, but a year better.

bullet.gif
Here's to another year of experience.

bullet.gif
A simple celebration, a gathering of friends; here is wishing you great happiness, a joy that never ends.

bullet.gif
A birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun. Enjoy the trip.

bullet.gif
Happy birthday, may this day always be a special one to remember.

bullet.gif
May the best of your past be the worst of your future.

bullet.gif
Hope your birthday blossoms into lots of dreams come true!

bullet.gif
I hope that for every candle on your cake you get a wonderful surprise.

bullet.gif
May today be filled with sunshine and smiles, laughter and love.


bullet.gif
Happy Birthday and many happy returns of the day.


 
Me watcghing you closely ujue....

BTT: Happy Birthday my dear sister Preta........ Yaani dah! Ako miaka ngapi sasa?

Hivi hawa baba zetu inaelekea walikuwa wanapenda sana kuwalala mama zetu mwezi May.... Lakini yaelekea baba yangu alikuwa mjanja kuliko baba za wengine kwamba aliwahi kumlala mama yangu wakati baba za wengine wakiwa wako shamba wanalima...... Uthibitisho uko wazi, mie ndo wa kwanza kutakiwa happy birthday mwaka huu..... (Source: Ashadii, January 21st)

Baada ya kusema hayo. ADI hebu come this way tufanye mpango wa mnuso,


Shem mbona leo kama umeniamkia vile? sasa nimefanya nini tena? me thinks unanikaba mno... Dah! lol

Kwa Preta niliposikia tu habari nzuri huyo mbiiiiio nilienda kuanda menu, Bahati nzuri saana woote ambao walihusika kwenye ile siku yako kubwa ya kuzaliwa nimewataarifu na simu zao za patikana. Hivo right on schedule..... Si wajua tena Preta kwa kusaidiana na Journe G walini impress saana siku ile kwa kazi nzuri ya U- DJ?

Sita mwangusha.....

@Preta.... Utaagiza speacial Dish dear.... chochote kipo delivered, na usiwe na wasi kuhusu vinywaji, nisha mtaarifu Sweetie....
 
Mpango mzima ni wapi "D"? Natafuta ndege ya Flying Doctor hapa Hydom inishushe Yaeda Chini! Lazima nitie timu. sisubiri kualikwa maana Bwana Harusi hapewi card ya mwaliko!

Happy birthday mpz!
 
heri na baraka ya siku yako ya kuzaliwa!
Mungu akujaalie yaliyo mema!
 
Preta najua tuko wote hapa Arusha ni PM nikupatie zawadi yako tafadhali! By the way Happy Birthday
 
hongera sana cista..!naona tunazeeka sasa..hahah

yani kiukweli kabisa mi nakutakia kila lililojema mwaka huu wa 2012...!

kanyaga twende..!unazaliwa miezi ya kulipa kodi za nyumba na kulipia insurance za magari na kulipia road lisence...!haina noumer lakin...chapa ilale
 
Happy birthday Preta. Mungu akupe maisha marefu...


Kama kawaida mimi na mke mwenza King'asti tupo ukumbini twapamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom