Happy Birthday PRETA

Me watcghing you closely ujue....

BTT: Happy Birthday my dear sister Preta........ Yaani dah! Ako miaka ngapi sasa?

Hivi hawa baba zetu inaelekea walikuwa wanapenda sana kuwalala mama zetu mwezi May.... Lakini yaelekea baba yangu alikuwa mjanja kuliko baba za wengine kwamba aliwahi kumlala mama yangu wakati baba za wengine wakiwa wako shamba wanalima...... Uthibitisho uko wazi, mie ndo wa kwanza kutakiwa happy birthday mwaka huu..... (Source: Ashadii, January 21st)

Baada ya kusema hayo. ADI hebu come this way tufanye mpango wa mnuso,

Asprin huna adabu, haki ya mama vile. Maneno gani machafu haya ya kusema mambo ya chumbani kwa wazazi?
 
Haaaaa!!! Vile viroba banaa wakati natembea narudi Unga Limited wahuni si wakanikaba banaa badala ya kuniibia hela na simu wakaiba viroba
Lol... Chezeiya wahuni wa unga limited wewe eeh??? Wanapenda viroba kuliko simu ati!..
 
Kumbe Preta alizaliwa Jana!!! ndiyo maana leo kavaa kufuli jipya, aisee

Asee nimemalizakadigrii kangu ka sheria. Ni kosa kuchungulia watoto wadogo. Kwa niaba ya mteja wangu nafungua kesi ya udhalilishaji. Nitaomba mahakama ianze kuisikiliza pale huyu mtoto atakapoanza kuongea.
 
Asante bana lakini mi ndo nilitakiwa nilete "kibosho kafu" asee ungmlalia mtoto mamaaang file! Unajua mimi naongea taratibu ila Saharavoice ndo anapika keleeee kelele mamaangu
 
Asante bana lakini mi ndo nilitakiwa nilete "kibosho kafu" asee ungmlalia mtoto mamaaang file! Unajua mimi naongea taratibu ila Saharavoice ndo anapika keleeee kelele mamaangu
Tulikusubiri na kibosho kavu yako hujatokea, ikabidi tumtume BW ila hakutuangusha manake alileta ile yenye 'msesewe'...mwambie Sahara mtoto akiamka namfungia mgongoni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom