Happy Birthday PRETA

hepi besdei Preta.....besdei pati ni wapi? kabla ya zoezi la kuufuata mwanga
 
what a coincidence,mwanangu naye leo birthday yake,karibu Preta mkate pamoja keki!
hahahahaaaa happy birthday dear,hauolayunao by the way?
 
Heri ya sikuyo ya kuzaliwa.
Duru zinaniambia kuwa umezaliwa siku moja na St. Thomas Aquinas (mwanamahesabu), Carlos Slim (mfanyibiashara wa Mexico), Nicolas Sarkozy,
Gianluigi Buffon, Papa Bouba Diop (mwanasoka wa Senegal), Jammie Carragher na wengine kibaaao!
Si unaona burf dae yako ilivyo na kismati eh?
Mungu Mwenyezi, anayeishi juu sana, akujalie maisha marefu kadiri ya uhitaji wako!
 
images
images
 
Preta, you share your birthday with my own mom! She's 67 years young today! Happy birthday and many happy returns to you and my mom!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom