Happy Birthday Mentor

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,717
9,510
:oops::oops::oops:;):(Habarini wakuu wangu

Hakuna kitu kizuri kama kukumbuka siku ya kuzaliwa au kujiona fahari upo hapa duniani
ni kitu chema cha kukumbuka na kufurahia nasi kwa pamoja tunafurahia siku ya kuzaliwa kwenu Mentor na Preta


Nami kwa upendo na furaha pia nawatakia kheri katika siku ya kuzaliwa kwenu, Mungu awape maisha marefu
na afya njema sana mkue katika kimo chema huku mkimpendeza Mungu.


Wapenzi na marafiki karibu kuwatakia heri na fanaka wenzetu na wapenzi wetu hawa mmoja ni mwandishi wa hadithi na riawaya za
kusisimua hapa jamvini naye ni Mentor.


HAPPY BIRTHDAY Mentor NA SIS Preta





Wasalaam

bestito sister Ladyfurahia
 
Please ladyfurahia edit na utuandike wawili: MIMI na Preta ..tafadhali sana usirudie kunitenga na pacha wangu!

Happy birthday to you dearest twin Preta...love u sanaaaaa!!!!! Mungu akubariki sana na kukufanikishia ndoto zako mwaka huu!!!
[/QUOT]

Mentor naomba nisaidie kuedit pale kwenye heading pamenishinda kwani hii system mpya walioyoweka inazingua kidogo
nifanyaje mkuu wewe ni mtaalamu kidogo nisaidie happo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom