Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 831
Hahaha c unajua kachanga hakawezi kuandika! Nipo njiani nawai wasije wakachakachua.hiki nahisi kitakuwa kimbwa kilaini sana spesho kwa mishkaki, hivi hujaenda tu kuvichukua stendi rose ashatuma toka jana tupo tunasubiri tuandae.