Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

nilishasema september 7..

kama kuna wa hii tarehe aje aseme nae nimfanyie mpango wa JF GOLD MEMBER!

no evidence to be shown!

deadline : 20.3.2014

nafasi zipo nyingi tu.....

Jamani me sept 6. Haya niamkie haraka nimeanza kuliona jua kabla yako.
 
hahahaaaa! nilete posa mamii? hebu ni-pm namba yako ya M-pesa! lols.

pasaka hii inabidi tuijenge nchi kwa pamoja!

We, me nishawahiwa zamani. Halafu nataka nibadilishe tarehe ya kuzaliwa manake naona nimezungukwa na mabazazi tu, kuanzia wewe, mwekundu, Bulldog....hatari.
Usininyime pilau lakini.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom