kisanganyakiswata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,294
- 543
January .1
tsup twin
Daaah ilibaki kidogo uwe pacha wa mimi
Sasa na wewe inakuwaje unakubali kuzaliwa mwishoni mwa mwaka? Wengine tulitoka kukingali mapema.
15 july
Mwishoni mwa mwaka ndo nzuri mtu unazaliwa msimu wa sikukuu
Do, wanaopenda sikukuu utawajua tu. Karibu kwangu x-mass.
Hilo mbona tulishakubaliana?? Unanikaribisha tena?? Au ndo kutafuta excuse ili ichepuke?
Siyo kukwepa, nilitaka kuhakiki kama bado unakumbuka. Wacha nianze maandalizi. Karibu sana.
9 july