April 21 mwenzangu queen elizabeth.......
mwMbie basi Huyu shoga yako ajiunge humu.
Nalog off
Hahahhhhha ajuza hoi taaban roho yake....mikono inatetemeka kama ana vibration lol
mbona sioni wa siku kama yangu?
wewe ndio lini sasa ?mimi hapa