Happy Birthday Elia....

Nitamwambia lakini hilo tiffu lake sijui utaliweza?

Wewe mweleze tu,

Unadhani toka 1947 hadi sasa nimeona masika ngapi au kiaganzi mara ngapi??? Kila rangi ilishaonekana kwenye macho ya babu DC!
 
Elia wewe ni rafiki yangu lakini mbona ujanipa kadi ya mwaliko wakati tunakaa nyumba moja kasoro milango?
HAPPY BIRTHDAY BRO.
 
Wewe mweleze tu,

Unadhani toka 1947 hadi sasa nimeona masika ngapi au kiaganzi mara ngapi??? Kila rangi ilishaonekana kwenye macho ya babu DC!
Atakuja nadhani anasubiria kwanza matatizo ya umeme na mafuta yapungue,
Nikijua siku anayokuja nitajitahidi nisiwepo mbaki wewe na yeye tuuuu
 
Elia wewe ni rafiki yangu lakini mbona ujanipa kadi ya mwaliko wakati tunakaa nyumba moja kasoro milango?
HAPPY BIRTHDAY BRO.
Tatizo unarudi usiku sana mkuu, unatoka tumelala unarudi tumelala
But hamna shida kuna nyama choma leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom