Hapo ndipo chumbani kwangu munasemaje?

Mheshimiwa, akitokea mtoto wa kiume wa jirani yako akaingia humo chumbani halafu kwa bahati mbaya akashindwa kufungua mlango wako wa kisasa na kulazimika kukojolea ukuta wako utafanyaje?
Mkuu grafani11 itakuwa sio Rahisi kuingia chumbani kwangu mlango wangu huwezi kufunguwa mpaka uwe na Kadi maalumu ya kufunguwa mlango unatumia Kadi sio ufunguo.
 
Last edited by a moderator:
223233_508616385845363_1780558899_n.jpg
 
mkuu Soki Zingine nimezificha mkuu huwezi kuziona ukisha ziona silaha zangu hutaniogopa silaha nzuri ni ile isiyo onekana.
Nimekuuliza kama siku hizi Mkuu umekuwa mwanasiasa kutokana na jinsi ulivyojibu hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekuuliza kama siku hizi Mkuu umekuwa mwanasiasa kutokana na jinsi ulivyojibu hapa!!
Kukujibu kuwa mimi nina Silaha za siri haina maana ya kuwa mimi ni Mwana Siasa Silaha zangu za Siri ni

Dua pamoja na Maombi yangu ninayo Muoomba Mwenyeezi Mungu ndio silaha zangu za siri Mimi Sio MwanaSiasa ila ninapenda

malumbano ya Siasa na laiti ningelikuwa huko nyumbani na ningeliingia chama chochote kimoja wapo ningelikuwa mbali

kwenye mambo ya Siasa lakini huko kwetu hakuna haki za kibinadamu ukiwa Mkweli Wananchi watakupenda ila viongozi wenzako watakusaliti na

kuweza hata kukutoa roho yako sasa Siasa za Tanzania ni za kinafiki sizipendi kila kiongozi wa Siasa hapo kwetu si mkweli kwa Wananchi lazima

asema Uongo ndani yake ila watu wapate kumpenda na awe ni Fisadi ndio anaweza kuongoza nchi sasa mimi hayo

mambo mawili kusema uongo na kuwa Fisadi siyapendi katika moyo wangu ndio maana Siasa za Afrika kwa ujumla

sizipendi mimi nipo nipo tu mkuu MziziMkavu hauchimbwi dawa unasemaje?
 
Mbona sioni mizizi mikavu bana? lol! umeificha wapi...na zile kwato za punda, ngamia, tembo n.k.? Poa lakini pametulia...ukiingia unapata amani ndani ya roho.

b601set.jpg

416882_413023922085175_1057031597_n.jpg

Chumbani kwangu hapo munasemaje wabongo???????????????
 
Rubani ni aje bana!? Mbona huonekani? Kujichimbia gani huko bana? Nimekutafuta kila kona HOLAAA! duh! Au ndio katika kukamilisha malengo ya mwakani? Haya kama ndio malengo basi kila la heri...Mie niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Chagua vyote LoL!

Dahhhh sjui nichague kipi.???
Nawasalimu bandugu. ...
 
Rubani ni aje bana!? Mbona huonekani? Kujichimbia gani huko bana? Nimekutafuta kila kona HOLAAA! duh! Au ndio katika kukamilisha malengo ya mwakani? Haya kama ndio malengo basi kila la heri...Mie niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Chagua vyote LoL!

Hahahahahaha
Captain fujo hizo. Mie zote zitanishinda nguvu.
Ahhh ntachagua yenye Woodrow kubwa si wajua tena sector ya mavazi ilivyo Muhimu. :$

Anyway kuna mambo makubwa mawili yamejitokeza. Kesho tukutane basi maeneo
Nikupe story ... sehemu ile ile saa zile zile.
Ntakusubiri ..Take care for now. :)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya angalia ipi ina nafasi ya kutosha kuweka vidudu vyako LoL! :):) nitakuwepo bila kukosa Rubani. Inaelekea hayo ni mambo makubwa kweli hadi yamesababisha usipatikane mtaani kama kawaida yako. Have a great weekend.

Hahahahahaha vidudu tena haya bana...
Uje na motorbike yako basi tuka spin kidogo ....

Haya basi kesho tutaonana ..
Mi ngoja nikitoe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom