Hapo ndipo chumbani kwangu munasemaje?

Mkuu Soki hayo maandishi maaan yake ni hivi kwa lugha ya kiswahili (KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU) Shetani hawezi kuingia nyumbani pangu ninapoishi ukiweka hayo maandishi shetani hawezi kupasogelea hapo karibu na hicho kitanda changu.

bibie kuberwa karibu unakaribishwa utakula kila kitu matunda ya kila aina Bia hakuna wala junk food hakuna utakunywa juice za orignal sio feki karibu unakaribishwa.

Mkuu Mbuzi Mzee Unakaribishwa kwa mikono miwili karibu ukaribie kaka.
usijempa tu soseji akaharisha mtoto wa watu.
 
kwa sababu hawana

imani nao hayataweza kuwasaidia hayo maandishi ikiwa huna imani nayo mimi nina imani na hayo maandishi nina imani na

Quran na biblia pia nina imani nayo zote zinanisaidia na hakuna kitu kitachoweza kunishinda mkuu Soki nina silaha kuu mbili

Biblia na Quran siogopi kitu ila nina muogopa Mwenyeezi Mungu tu ndio ninayemuweka mbele kwa kila kitu naye ndie ni mlinzi wangu mkuu.

Sasa rafiki yangu Mzizi Mkavu kama ni kweli una silaha mbili hizo, mbona hapo chumbani kwako tunaona moja tuu???
 
416882_413023922085175_1057031597_n.jpg

Chumbani kwangu hapo munasemaje wabongo???????????????

MziziMkavu hapo Sio OMAN kweli kwenye chumba cha mpambe mmoja? Au na wewe ni mpambe... be honest bana!!
 
Hahahahahaha, nafikiri ujumbe umemfikia Zama...
bibie kuberwa hajuwi kuwa Mwanamke katika hii dunia ndio wa kwanza kwa kila kitu lady is first kuliko Mwanamme?bibie kuberwa karibu sana jihisi upo nyumbani unakaribishwa wakati wowote ule utakao.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu hapo Sio OMAN kweli kwenye chumba cha mpambe mmoja? Au na wewe ni mpambe... be honest bana!!
Mkuu Karikenye nimesema chumbani kwangu kwani siwezi kuwa na chumba kama hicho mkuu?kipo simple tu hakina vitu kibao si unajuwa chumba cha mtu mmoja bachelor . hiyo ni ulaya bwana sio Uarabuni.
 
Last edited by a moderator:
Sasa rafiki yangu Mzizi Mkavu kama ni kweli una silaha mbili hizo, mbona hapo chumbani kwako tunaona moja tuu???
mkuu Soki Zingine nimezificha mkuu huwezi kuziona ukisha ziona silaha zangu hutaniogopa silaha nzuri ni ile isiyo onekana.
 
Last edited by a moderator:
416882_413023922085175_1057031597_n.jpg

Chumbani kwangu hapo munasemaje wabongo???????????????
Mheshimiwa, akitokea mtoto wa kiume wa jirani yako akaingia humo chumbani halafu kwa bahati mbaya akashindwa kufungua mlango wako wa kisasa na kulazimika kukojolea ukuta wako utafanyaje?
 
Mkuu Karikenye nimesema chumbani kwangu kwani siwezi kuwa na chumba kama hicho mkuu?kipo simple tu hakina vitu kibao si unajuwa chumba cha mtu mmoja bachelor . hiyo ni ulaya bwana sio Uarabuni.

vyumba vya ma-house boy weng ulaya vipo hiv,hasa ukijua hidden meaning ya rang ya kijani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom