Yaani mshikaji kaharibu anavyoongea utafikiriwanaishi nyumba mojaHahaaaa
Ila huyu andunje Walah atanipasua mbavu
Huyo jamaa kwenye Avatar yako si ndo alikua anajiita Side mnyamwezi au sio yeye??
Ok at that time nilikua sijajua kutofautisha hawa characters wanatoka kampuni zipi mpaka leo najua Sani tuAnaitwa BANDIDU mkuu anapatikana kwenye jarida la Gumzo la Marco Tibasima
Hilo tako jeupe safi hata chakula kilichochakatwa nalo nakula tuUbunifu
Lodilofa
Visa vya Kikopo
Jaribu uharibu
Njaa kweli mbaya
Vicheche kazeni macho