Hapa slaa wamemnyima jezi au.

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Kamanda slaa karibu na mkuu wa kaya.Kiatu aliyochokipaga chini naona kama sio raba vile.Naona mhusiano yanaanza kuja kuja vile na mkuu mwenyewe
 
Attachments

  • slaa.jpg
    slaa.jpg
    87.4 KB · Views: 288
Yeye kaliwakilisha Taifa bana maana hapo mtu yeyote atakaemwona hatouliza ni wa nchi gani
 
Naona amepiga chini trac za mariedo 1m kwa pea.

Kweli slaa mzalendo.

Kwa kuvaa boxer nyeusi..sarawili nyeusi, sox nyeusi na kiatu cheusi nina hakika na joto hili la dar na hivi huna hata vitz basi huko chini una vunda kama mdomo wa ze puraimu...mini!! MAMBA

:focus:

walikua wanachangisha pesa zamradi campaign ya fistula ilio dhaminiwa na vodacom ikiwa na lengo ya kuchangisha bil.1 na kwakua Slaa ni Mwenyekiti wa bodi ya CCBRT alimshukuru rais kwa kuendesha harambee hiyo ambayao kwa mara ya kwanza ilifanyika Movinpick (sasa Serena)..
 
Kamanda slaa karibu na mkuu wa kaya.Kiatu aliyochokipaga chini naona kama sio raba vile.Naona mhusiano yanaanza kuja kuja vile na mkuu mwenyewe

Zoezi dogo hilo Mkulu kauma meno kabisa. Kulikoni?
 
Duh, naona Dokta Silaa hilo sweta ni kama vile limemvaa yeye..
 
Dr. Slaa hakunyimwa ila inaonekana alivaa kwa ndani, naomba mnisaidie, hii picha hawa jamaa walikuwa wanakimbia au wanatembea?
 
Kamanda slaa karibu na mkuu wa kaya.Kiatu aliyochokipaga chini naona kama sio raba vile.Naona mhusiano yanaanza kuja kuja vile na mkuu mwenyewe

Aka! inteligensia, isije nguoni kupakwa dawa za mionzi, usalama wa viongozi siku hizi utata mtupu, bora lawama kuliko fedheha
 
Hapana hawajamnyima. Alitaka kuiwakilisha vizuri Tanzania ndio maana akavaa jezi yenye bendera ya Tanzania
 
Back
Top Bottom