Hapa Simba Queens mmepata dribbler wa uhakika na mfungaji

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama uliwahi kushuhudia uchezaji wa Edibily Lunyamila au Dua Said basi ndiye huyu binti.

Hata Harambee Starlets ni mchezaji wa kutegemewa, sasa I hope huyo Mkenya goalkeeper (RUFA) ataleta ushindani kwa Gelwa hapo golini na yule namba tano Daniella aliyekimbia kutokulipwa mshahara utopoloni apunguze uzito pia

Sijui usajili umeisha au la, lakini kama angepatikana striker mweye calibre za yule mhabeshi ingekuwa hatari sema hata kwa kikosi hiki nina matumaini simba queens kufika nusu fainali CAFWCL huko moroko

Asha Djafari watch out huyu binti wa kikenya na mguu wake wa kushoto ni hatari sana kasi na mashuti ndo zake*****

starlet.JPG
 
nani corazonee au huyu jentrix,? corazone katokea kukubalika sana ila mark my words , ligi ikianza au mashindano ya huko moroko yakianza huyu Shikangwa ndiye atakuwa star wa simba queens
Powerful na Skilful nazungumzia Corazone. Huyu Jentrix simfahamu. Lakin sina shaka mtazamo wako. Ninachoamini sasa hivi SIMBA wana scouting bora sana. Professional!
 
mwaka jana walimtaka akapata team uturuki wameshindwana maslahi ndiyo wamempata , ni hatari sana niamini mimi, bado huwa nasikitika sana simba walimpotezaje yule Amina bilali hadi akaenda yanga

Unajua hata last year kwenye cosafa bilal alikuwa mchezaji bora , mwaka huu kaingia first 11 ya cosafa, fetty dancer yuko kikosi cha akiba

Bilal angekuwa bado simba katikati akae yeye , corazone na fetty ingekuwa poa sana wafanye mpango wamrudishe
 
Kweli. Nadhani Wana mipango mikubwa Africa
 
Huko kwa akina mama ndiko kunako wafaa. Ongezeni bidii ya kusajili Wakenya, ili muendelee kupata matokeo mazuri. Mkija huku kwa wanaume, mjiandae kukutana na Fei Toto na mwenzake Fiston Mayele. Hawa vijana wana roho mbaya sana!

Maana mtajitutumua weeeh kucheza mechi nyingi za Kirafiki na Malindi, Kipanga, nk ili kutafuta combination ya wale mabondia wenu Okra na Mlete Mzungu!! Ila itakapofika tarehe 23/10, kichapo kiko palepale kutoka kwa Wananchi!
 
Hilo linajukikana makolo hamna team pale
 
Kwa akina mama huu unaweza ukawa msimu wa mwisho kwa makolo kudominate kwa kuwa timu yao ina muda ila wakizubaa msimu huu wanaweza kupigwa na Yanga princess,maana usajili uliofanywa na Yanga princess ni mzuri kinachoweza kuwacost ni muunganiko labda,miaka iliopita wadhamini (GSM) awakuji involve na hii timu ilikua kila kitu chini ya uongozi wa klabu,msimu huu jamaa wametia pesa na msimu ujao ndio watatia pesa zaidi,wamemsajilia yule kocha mwanamama timu ya kumfukuzisha kazi
 
Inakuwaje wanaume mashabiki wa Simba mnajadili timu ya kina dada??
Ni kwa sababu kule kwingine wameshajikatia tamaa. Wakimuanglia nahodha John Boko, mzee mwenzangu Erasto Nyoni! Mlete Mzungu! Augustine Okrah, Nelson Okwa! Habib Kiyombo!! Na wachezaji wengine!! Kote huko wanaona matumaini hakuna!

Halafu makocha wenyewe ni mzee wa sound Juma Mgunda na mtoto mpendwa Seleman Matola!!
 
Hapo nimeelewa mkuu
 
Back
Top Bottom