Hapa ndipo ufahamu na uzalendo wa Mr. President huwa nautilia mashaka

Hodi wana JF. nimekuwa ni msomaji maarufu sana lakini nikawa nashindwa kuchangia hoja kwa kuwa sikuwa member wa jamvi.lakini nimelazimika kujiunga nanyi ili tuwe pamoja.ila nasikitika kuwaarifu wana chadema kuwa mimi ni gamba laini (ngozi) ambayo kila mtu anayo,kwa hiyo sisi sote ni watu wa magamba ila magamba hayo yanapokuwa magumu kama ya nyoka au kenge basi upo umuhimu wa kuyavua ili libaki gamba laini.Sasa ndugu yangu ,kama serikali itawaacha watu wafanye watakalo,nchi hii hatafika popote.walevi wataenda kuvamia TBL ili wapate bia za bure,majangili watavamia mbuga wapate meno ya ndovu na kila mtu atafanya ki vyake.hebu fikiria kama polisi wasingefanya hivyo walivyofanya,leo hii mgodi huo ungekuwaje.hebu niambie hao chadema wakichukua nchi watawanyanganya polisi SMG zote wa wabakiwe na virungu? wahalifu ni wahalifu tu hata kama watakuwa ni ndugu zako wa tumbo moja.Tusikumbatie ujinga, hakuna nchi au serikali inayopenda kuua watu wake, lakini pia hakuna serikali inayokubali kundi la wahuni kuvuruga utawala wake,hao watashughulikiwa kwa nguvu zote.subirini chadema ichukue nchi ili mukagawane hizo dhahabu na wanyama huko serengeti,miaka 100 sio mingi mutatawala tu.
 
Kweli nimeamini kikwete ni Popular sana, never goes a day without having a post about KIKWETE this shows how much support Mr President is enjoying even during these tarbulent times.

wewe mzima kiakili? Popularity unayoongelea ipo ya aina mbili e.g femous and notorious, sasa kikwete ni yupi kati ya hao wangapi ni popular lakini kwa mabaya umemsaau Osama? Changia hoja kama uwezi kaa kimya we mdada!
 
Hodi wana JF. nimekuwa ni msomaji maarufu sana lakini nikawa nashindwa kuchangia hoja kwa kuwa sikuwa member wa jamvi.lakini nimelazimika kujiunga nanyi ili tuwe pamoja

.ila nasikitika kuwaarifu wana chadema kuwa mimi ni gamba laini (ngozi)

.,... wahalifu ni wahalifu tu hata kama watakuwa ni ndugu zako wa tumbo moja
..,.subirini chadema ichukue nchi ili mukagawane hizo dhahabu na wanyama huko serengeti,miaka 100 sio mingi mutatawala tu.

Karibu sana JF. Napenda kukutaarifu/kukusisitiza kwamba this is home of Great Thinkers na sio upuuzi

JF haina uhusiano wowote na chama chochote cha siasa. Kunawanasiasa wengi tu ambao ni member hapa JF, ila JF sio member wa chama chochote. Hivyo huna sababu ya kuwajulisha cdm kuwa wewe ni gamba kupitia JF.

Kuhusu uhalifu, sote hatukubaliani, lakini hatuwashughulikii kwa kuwaua. Hivyo ni kinyume cha sheria. Au waliyemuua mwana ccm ni wahalifu kuliko walioua tarime!? .

Kama kweli wewe ni ccm na unadhani cdm itasubiri miaka 100 kushinda uraisi, pole sana! Sijui upo kwenye shimo gani? Waulize akina Butiku, Kaduma, nawengineo watakuamsha na sio kusikiliza redio uhuru tu!
 
Jesuit: I guess haupo mentally ok. Hivi habari iliyoletwa hapa ina uhusiano gani na CHADEMA? Ni watu wangapi wameuawa na majambazi hapa nchini na hatukuwahi kusikia Rais akitoa tamko lolote? Iweje leo ameuawa kiongozi wa CCM basi harakaharaka kuagiza wauaji wasakwe? Ni mara ngapi wameuawa watu mhimu kwa nchi yetu wakiwemo maprofessor ambao tunawahitaji sana kwa maslahi ya wengi, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali kukabiliana nayo? Je unakumbuka yale mauaji ya watanzania zaidi ya 10 kule ukerewe? Rais alisema nini juu ya yale? Acheni ushabiki wa kishamba jamani, ihurumieni nchi yenu. Huyu Rais ana shida, nashangaa kwanini watu hamuoni hilo
nchi hii watu kama wewe mpo wachche vilaza ndo wengi!
 
nilikuwa nasikiza mapitio ya magazeti kwenye moja ya stesheni za redio na nikastuka kusikia gazeti moja la kila siku likiripoti kuwa mtu wetu wa bagamoyo ameagiza waliotekeleza mauaji ya mwakeenja wasakwe na wakamatwe mara moja.

ni kweli bwana kikwete. nakubaliana na wewe hao watu wakamatwe. wameua na hakuna mahala popote katika sheria yoyote mtu anaruhusiwa kutoa uhai wa mwenzake kwa sababu zozote zile.

mashaka yangu hapa ni hiyo tabia yako ya umangimeza. wakati ukiagiza hayo, suala la kuuwawa kwa watanzania kule tarime hujalitolea tamko mpaka leo. nilichosikia kutoka bbc ni kwamba kuna watu kibao wamekamatwa juu ya tukio la mauwaji ya watanzania watano kule tarime, lakini hakuna hata askari mmoja aliyekamatwa, wakati ukweli ni kwamba polisi ndiyo waliowauwa wale watu watano. wewe pamoja na serikali yako mumefumba macho na mumekuwa mabubu katika tikio la tarime. kitu pekee mumefanya juu ya wanatarime ni kupeleka magari ya maji ya kuwasha, huku mili ya marehemu ikiendelea kuoza mochwari.

hapa ndipo ninapohoji ufahamu wako na uzalendo wako bwana kikwete. askari wa serikali yako wanauwa raia kulinda maslahi ya muwekezaji wa nje anayekwiba rasilimali za nchi, askari hawa wanaachwa wanadunda, lakini ameuwawa mwakeenja, umeagiza waliomuuwa wakamatwe kwa maslahi ya ccm. this is purely double-standard.

bora ungekaa kimya tu bwana m*kwe*re.

Ni kweli una machungu sana, lakini hiyo lugha uliyotumia sio nzuri. Baba yako mzazi azikuudhi utamsema katika lugha ya namna hiyo iliwa ni pamoja na kumwita jina lake kavu kavu? Siasa sizitufanye tukakosa maadili.
 
karibu sana jf. Napenda kukutaarifu/kukusisitiza kwamba this is home of great thinkers na sio upuuzi

jf haina uhusiano wowote na chama chochote cha siasa. Kunawanasiasa wengi tu ambao ni member hapa jf, ila jf sio member wa chama chochote. Hivyo huna sababu ya kuwajulisha cdm kuwa wewe ni gamba kupitia jf.

Kuhusu uhalifu, sote hatukubaliani, lakini hatuwashughulikii kwa kuwaua. Hivyo ni kinyume cha sheria. Au waliyemuua mwana ccm ni wahalifu kuliko walioua tarime!? .

Kama kweli wewe ni ccm na unadhani cdm itasubiri miaka 100 kushinda uraisi, pole sana! Sijui upo kwenye shimo gani? Waulize akina butiku, kaduma, nawengineo watakuamsha na sio kusikiliza redio uhuru tu!

nashukuru sana kaka yangu filipo,naona umeninukuu vibaya,najua sana kuwa jamvi hili sio la chadema wala ccm,lakini wakaaji wanaokalia jamvi hili wapo wa chadema na ccm na hata wengine wasio na vyama, basi mimi nimewataarifu wale watani wa jadi waliokalia jamvi hili kutoka upande wa pili (cdm) kuwa nami sasa nipo jamvini. Na pia mbona ninajivunia chama changu na hivyo kujiweka wazi ni bora.kwa nini nijifiche? Mbona wengi tu wapo wazi? Na hata wengine wanataka kufungua matawi na wameweka wazi dhamira hiyo? polisi ndugu yangu ni chombo kilichopewa mamlaka ya kulinda usalama wa ndani ya nchi,maisha ya mwananchi na mali ya mwananchi.hapa neno mwananchi nimelitumia ili upate mwanga zaidi lakini ni pamoja na wageni waishio ndani ya nchi hiyo ambao wapo ki sheria, hao wanalindwa pia kama wananchi wengine wanavyolindwa. Wanaovunja sheria za nchi ni wananchi hao hao, na hao hao ndio wanaifanya polisi iwashughulikie, kwa kuwa wamejitenga na wananchi wenye kutii mamlaka.basi wale waliomuua mwana ccm na hawa wavamizi wa mgodi ni dugu moja.hawawezi kufumbiwa macho.mwisho napenda kukushukuru kwa kunikaribisha jf. Miaka 100 si mingi.
 
Jamaa anavyopenda misiba!!!! Mwenzenu sasa hivi anaangalia ni suti gani atavaa kwenye huo msiba!!!
 
nilikuwa nasikiza mapitio ya magazeti kwenye moja ya stesheni za redio na nikastuka kusikia gazeti moja la kila siku likiripoti kuwa mtu wetu wa bagamoyo ameagiza waliotekeleza mauaji ya mwakeenja wasakwe na wakamatwe mara moja.

ni kweli bwana kikwete. nakubaliana na wewe hao watu wakamatwe. wameua na hakuna mahala popote katika sheria yoyote mtu anaruhusiwa kutoa uhai wa mwenzake kwa sababu zozote zile.

mashaka yangu hapa ni hiyo tabia yako ya umangimeza. wakati ukiagiza hayo, suala la kuuwawa kwa watanzania kule tarime hujalitolea tamko mpaka leo. nilichosikia kutoka bbc ni kwamba kuna watu kibao wamekamatwa juu ya tukio la mauwaji ya watanzania watano kule tarime, lakini hakuna hata askari mmoja aliyekamatwa, wakati ukweli ni kwamba polisi ndiyo waliowauwa wale watu watano. wewe pamoja na serikali yako mumefumba macho na mumekuwa mabubu katika tikio la tarime. kitu pekee mumefanya juu ya wanatarime ni kupeleka magari ya maji ya kuwasha, huku mili ya marehemu ikiendelea kuoza mochwari.

hapa ndipo ninapohoji ufahamu wako na uzalendo wako bwana kikwete. askari wa serikali yako wanauwa raia kulinda maslahi ya muwekezaji wa nje anayekwiba rasilimali za nchi, askari hawa wanaachwa wanadunda, lakini ameuwawa mwakeenja, umeagiza waliomuuwa wakamatwe kwa maslahi ya ccm. this is purely double-standard.

bora ungekaa kimya tu bwana m*kwe*re.

Nyie CDM si mmepeleka wana sheria wenu na madaktari wenu, mmewaficha wafiwa, mmekataa watu wasizikwe na huku miili inaoza mochwari, sasa hapo JK aseme nini ? endeleeni tu hilo leni JK hausiki hapo na hakuna double standard. Mngewaachia vyombo vya sheria wafanyie kazi , mmekataa na mmeamua sheria kujitungia nyie wenyewe kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa
 
Hodi wana JF. nimekuwa ni msomaji maarufu sana lakini nikawa nashindwa kuchangia hoja kwa kuwa sikuwa member wa jamvi.lakini nimelazimika kujiunga nanyi ili tuwe pamoja.ila nasikitika kuwaarifu wana chadema kuwa mimi ni gamba laini (ngozi) ambayo kila mtu
anayo,kwa hiyo sisi sote ni watu wa magamba ila magamba hayo yanapokuwa magumu kama ya nyoka au kenge basi upo umuhimu wa kuyavua ili libaki gamba laini.Sasa ndugu yangu ,kama serikali itawaacha watu wafanye watakalo,nchi hii hatafika popote.walevi wataenda kuvamia TBL ili wapate bia za bure,majangili watavamia mbuga wapate menohttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/138119-kipindi-dk-45-itv-vs-mchakato-majimboni-new-post.html
ya ndovu na kila mtu atafanya ki vyake.hebu fikiria kama polisi wasingefanya hivyo walivyofanya,leo hii mgodi huo ungekuwaje.hebu niambie hao chadema wakichukua nchi watawanyanganya polisi SMG zote wa wabakiwe na virungu? wahalifu ni wahalifu tu hata kama watakuwa ni
ndugu zako wa tumbo moja.Tusikumbatie ujinga, hakuna nchi au serikali inayopenda kuua watu wake, lakini pia hakuna serikali inayokubali kundi la wahuni kuvuruga utawala wake,hao watashughulikiwa kwa nguvu zote.subirini chadema ichukue nchi ili mukagawane hizo dhahabu na wanyama huko serengeti,miaka 100 sio mingi mutatawala tu.

Sidhani moto waweza kuwaka wenyewe bila chanzo na ukiona moshi unafuka mahali jua na moto unafuatia,Nnaomba uniambie JE UNAIJUA SABABU (CHANZO)ILIYOWAFANYA WANANCHI WAFIKIE UAMUZI WA KUVAMIA MGODI?
•Je unajua mpaka sasa hivi idadi ya waliouwawa I
efika Watanzania 23?
•Serikali unayoitetea iendelee kuuwa Watanzania(binadamu wenzio)ilidhachukua hatua gani?
•Je askari polisi hawakuwa na njia nyingine ya kuwazuia wananchi kwa kutumia risasi za baridi/mambomu ya machozi?
•Palikuwa na ulazima gani wa kutumia risasi za moto kwa wananchi?
Sidhani Kama utakuwa na majibu sbb moja kuu nikiyoiona kwako wewe umekuwa mshabiki sana na umeegemea ktk chama chako cha ccm kiasi uhai wa Watanzania uliopotea unaona Kama ni haki kwa ccm na Serikali yake kufanya hivyo.Umetoka nje ya mada na una chuki na Chadema,nnasikitika Kama bado wapo Watanzania wenye akili mbovu(wajinga)Kama wewe.Tafadhali acha ushabiki wa vyama kwenye maisha(uhai)ya Watanzania na usishabikie mauaji kwa binaadamu mwenzio hata Mungu hapendi,karibu JF.
 
Hodi wana JF. nimekuwa ni msomaji maarufu sana lakini nikawa nashindwa kuchangia hoja kwa kuwa sikuwa member wa jamvi.lakini nimelazimika kujiunga nanyi ili tuwe pamoja.ila nasikitika kuwaarifu wana chadema kuwa mimi ni gamba laini (ngozi) ambayo kila mtu anayo,kwa hiyo sisi sote ni watu wa magamba ila magamba hayo yanapokuwa magumu kama ya nyoka au kenge basi upo umuhimu wa kuyavua ili libaki gamba laini.Sasa ndugu yangu ,kama serikali itawaacha watu wafanye watakalo,nchi hii hatafika popote.walevi wataenda kuvamia TBL ili wapate bia za bure,majangili watavamia mbuga wapate meno ya ndovu na kila mtu atafanya ki vyake.hebu fikiria kama polisi wasingefanya hivyo walivyofanya,leo hii mgodi huo ungekuwaje.hebu niambie hao chadema wakichukua nchi watawanyanganya polisi SMG zote wa wabakiwe na virungu? wahalifu ni wahalifu tu hata kama watakuwa ni ndugu zako wa tumbo moja.Tusikumbatie ujinga, hakuna nchi au serikali inayopenda kuua watu wake, lakini pia hakuna serikali inayokubali kundi la wahuni kuvuruga utawala wake,hao watashughulikiwa kwa nguvu zote.subirini chadema ichukue nchi ili mukagawane hizo dhahabu na wanyama huko serengeti,miaka 100 sio mingi mutatawala tu.

Wewe akili zako zikapimwe..... UNAUPUNGUFU WA HABARI AKILINI...Mawazo yako unayoleta hapa eti wale walikuwa wahalifu,wavamizi, majambazi, ilitolewa na yule kamanda wa kanda maalumu ya Tarime RORYA,,uliza alivyookwenda pale mkuu wake KAMISHNA PAUL CHAGONJA kama hakukanusha hilo unalotaka kutuaminisha...bila shaka hujui mazingira halisi yaliyopo Nyamongo...Vizazi kwa vzazi wameishi hapo..eneo lenye utajiri wa Dhahabu..leo serikali inaweza hapo na kuwaacha na ufukara watanzania wale...kwahiyo siyo rahisi kama upupu wako unaotaka kuumwaga hapa,,tena kwa madaha...
 
Hodi wana JF. nimekuwa ni msomaji maarufu sana lakini nikawa nashindwa kuchangia hoja kwa kuwa sikuwa member wa jamvi.lakini nimelazimika kujiunga nanyi ili tuwe pamoja.ila nasikitika kuwaarifu wana chadema kuwa mimi ni gamba laini (ngozi) ambayo kila mtu anayo,kwa hiyo sisi sote ni watu wa magamba ila magamba hayo yanapokuwa magumu kama ya nyoka au kenge basi upo umuhimu wa kuyavua ili libaki gamba laini.Sasa ndugu yangu ,kama serikali itawaacha watu wafanye watakalo,nchi hii hatafika popote.walevi wataenda kuvamia TBL ili wapate bia za bure,majangili watavamia mbuga wapate meno ya ndovu na kila mtu atafanya ki vyake.hebu fikiria kama polisi wasingefanya hivyo walivyofanya,leo hii mgodi huo ungekuwaje.hebu niambie hao chadema wakichukua nchi watawanyanganya polisi SMG zote wa wabakiwe na virungu? wahalifu ni wahalifu tu hata kama watakuwa ni ndugu zako wa tumbo moja.Tusikumbatie ujinga, hakuna nchi au serikali inayopenda kuua watu wake, lakini pia hakuna serikali inayokubali kundi la wahuni kuvuruga utawala wake,hao watashughulikiwa kwa nguvu zote.subirini chadema ichukue nchi ili mukagawane hizo dhahabu na wanyama huko serengeti,miaka 100 sio mingi mutatawala tu.

kweli nimeamini wewe ni mgeni JF na inabidi mods wakupe short course ya Great Thinking. hakuna anayehalalisha mtu au kikundi cha watu kufanya uhalifu. hoja hapa ni huyu jamaa yenu wa bagamoyo kutoa matamko yenye kuonesha namna asivyokuwa makini.

rudia kusoma
 
kwa hili JK hajatenda haki. binadamu wanahaki sawa kwanini Mwakenja aonekane msiba na wengine wawe wafu?
 
nashukuru sana kaka yangu filipo,naona umeninukuu vibaya,najua sana kuwa jamvi hili sio la chadema wala ccm,lakini wakaaji wanaokalia jamvi hili wapo wa chadema na ccm na hata wengine wasio na vyama, basi mimi nimewataarifu wale watani wa jadi waliokalia jamvi hili kutoka upande wa pili (cdm) kuwa nami sasa nipo jamvini. Na pia mbona ninajivunia chama changu na hivyo kujiweka wazi ni bora.kwa nini nijifiche? Mbona wengi tu wapo wazi? Na hata wengine wanataka kufungua matawi na wameweka wazi dhamira hiyo? polisi ndugu yangu ni chombo kilichopewa mamlaka ya kulinda usalama wa ndani ya nchi,maisha ya mwananchi na mali ya mwananchi.hapa neno mwananchi nimelitumia ili upate mwanga zaidi lakini ni pamoja na wageni waishio ndani ya nchi hiyo ambao wapo ki sheria, hao wanalindwa pia kama wananchi wengine wanavyolindwa. Wanaovunja sheria za nchi ni wananchi hao hao, na hao hao ndio wanaifanya polisi iwashughulikie, kwa kuwa wamejitenga na wananchi wenye kutii mamlaka.basi wale waliomuua mwana ccm na hawa wavamizi wa mgodi ni dugu moja.hawawezi kufumbiwa macho.mwisho napenda kukushukuru kwa kunikaribisha jf. Miaka 100 si mingi.

Mbona hujailaumu serikali pale wageni haohao walipotumbukiza tindikali mtoni na watu wakawa wanabanduka ngozi na kuugua magonjwa ya ngozi ya ajabu? Mbona wageni hao hawajafikishwa mahakamani? Hadi wakathubutu kusema kuwa kama ni rushwa anakula jey key Ikulu sasa madiwani na Halmashauri watawafanya nini yote hayo hukusikia? Kwa akili yako unadhani kila utawala ni fair kiasi kwamba wananchi wasikusanyike kudai haki yao? Nina uhakika hata ile vita ya majimaji ulikuwa upande wa mjerumani!!!! Mvamizi ni yuleyule we dada!!!!! wewe umefiwa na ndugu wangapi huko tarime? Kwa vile hayajakufika unaona ni sawa tu. Watu wanapigania haki zao wewe unawaita wavamizi. Picha za walioumizwa na mgodi umeshaziona? Wewe umeolewa na wenye magamba magumu na wanakufaidi kweli maana umesema mwenyewe kuwa una gamba lainiiiiiiiiiiiiii.

2.JPG
4.JPG
 
You guys are just too Obsessed with Mr Prezida

plz admit it rather than throwing unecesary insults, that wont help
 
kweli nimeamini wewe ni mgeni JF na inabidi mods wakupe short course ya Great Thinking. hakuna anayehalalisha mtu au kikundi cha watu kufanya uhalifu. hoja hapa ni huyu jamaa yenu wa bagamoyo kutoa matamko yenye kuonesha namna asivyokuwa makini.

rudia kusoma

Nipo tayari kaka yangu kupata hiyo short course, lakini pia usifikiri kuwa GREAT THINKER ni pale tu mtu anapokubali mawazo yako.hebu tafuta katiba ya nchi na uangalie ile mihimili mitatu ya dola halafu utajua Polisi wapo wapi na majukumu yao ni nini.
 
Kweli nimeamini kikwete ni Popular sana, never goes a day without having a post about KIKWETE this shows how much support Mr President is enjoying even during these tarbulent times.
Great thinker!!!!! Nina wasi wasi the way you draw your conclusion.
 
Mbona hujailaumu serikali pale wageni haohao walipotumbukiza tindikali mtoni na watu wakawa wanabanduka ngozi na kuugua magonjwa ya ngozi ya ajabu? Mbona wageni hao hawajafikishwa mahakamani? Hadi wakathubutu kusema kuwa kama ni rushwa anakula jey key Ikulu sasa madiwani na Halmashauri watawafanya nini yote hayo hukusikia? Kwa akili yako unadhani kila utawala ni fair kiasi kwamba wananchi wasikusanyike kudai haki yao? Nina uhakika hata ile vita ya majimaji ulikuwa upande wa mjerumani!!!! Mvamizi ni yuleyule we dada!!!!! wewe umefiwa na ndugu wangapi huko tarime? Kwa vile hayajakufika unaona ni sawa tu. Watu wanapigania haki zao wewe unawaita wavamizi. Picha za walioumizwa na mgodi umeshaziona? Wewe umeolewa na wenye magamba magumu na wanakufaidi kweli maana umesema mwenyewe kuwa una gamba lainiiiiiiiiiiiiii.

2.JPG
4.JPG

Muganyizi punguza jazba,halafu great thinker ni mtu mwenye busara, huwa hatukani ovyo.kuolewa ni sehemu ya maisha, kama vile ambavyo wengine wanavyoishi kwa namna mbalimbali.hebu niambie wale wananchi unasema walikusanyika kudai haki zao, je haki inadaiwa kwa mapanga? na kwamba ndio unasisitiza kuwa watu wadai haki kwa mapanga?
 
Back
Top Bottom