Hapa Ndio JamiiForums

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,832
Hapa ndio sehemu pekee inayonipa raha kululiko sehemu nyingine yeyote ile mtandaoni ambayo watu huwa wanajumuika na kuongea mawazo yao.

Hapa ndipo ambapo nimepata marafiki wapya wenye mawazo mapya kwa ajili yangu na kizazi changu kijacho.

Hapa nimeona watu wakitofautiana maneneno na mawazo, nimeona pia watu wakiombana msamaha na kusameheana, hii inaonyesha watu wamepuvuka kiasi gani.Hapahapa nimeona watu wakitafuta wachumba , naamini hapa hapa zitatoka ndoa bora sana katika jamii yetu.

Mungu ibariki JamiiForums ili iwe bora zaidi kuliko sasa ili tuendelee kuifaidi zaidi.
 
...............sawa, lakini tuna makinda humu pia, lama pearl!!!!!!!!!!! analalamika mambo ya kipuuzi kule kwenye thread yake!!!!!!!!!!!
 
hapa ni sehemu yenye kuvutia unaweza ukanuna weee na baadae kujikuta unacheka
I like zis place
 
my dia ngoja nikusahihishe ulipokesea n u cn do vise vesa,sijalaamika,I said a prayer to my God,nikijua mm ni mkosefu.
...............sawa, lakini tuna makinda humu pia, lama pearl!!!!!!!!!!! analalamika mambo ya kipuuzi kule kwenye thread yake!!!!!!!!!!!
 
my dia ngoja nikusahihishe ulipokesea n u cn do vise vesa,sijalaamika,I said a prayer to my God,nikijua mm ni mkosefu.

mkosefu wa kweli ataoba msamaha. niombe msamaha mimi kwanza kwa kudharau michango yangu na kuamini huwezi kubaki na reputation yako kama ukinisoma au kujibu maoni yangu.

unanidhalilisha sana. mbona kuna wengi tu wanchagua kubaki kimya? kwa nini wewe hufanyi hivyo???????????
 
Mnaonaje tupange kukutana sehemu kwa ajili ya kufahamiana?
Hope itakuwa nzuri, haya mambo ni madogo sana wala hayana haja ya kuyaendeleze.
Tusameheane tu tuondoe vinyongo tulivyonavyo. hamna aliye mkamilifu...
Mnaonaje kesho jioni tukikutana sehemu, let it be at city centre?
Pale Florida Pub patafaa?
 
Naomba unisamehe sana kwa yote niliyokukosea
mkosefu wa kweli ataoba msamaha. Niombe msamaha mimi kwanza kwa kudharau michango yangu na kuamini huwezi kubaki na reputation yako kama ukinisoma au kujibu maoni yangu.

Unanidhalilisha sana. Mbona kuna wengi tu wanchagua kubaki kimya? Kwa nini wewe hufanyi hivyo???????????
 
...............sawa, lakini tuna makinda humu pia, lama pearl!!!!!!!!!!! analalamika mambo ya kipuuzi kule kwenye thread yake!!!!!!!!!!!

Kwani Invisible alishasema umri wa kujiunga na JF unaanzia miaka mingapi???
 
Kiukweli ni sehemu nzuri japo kuna baadhi yetu huharibu mood za wenzetu sometime kwa maandishi yetu machafu, lakini kiukweli ni sehemu murua kabisa ya kuongeza uzoefu wa kijamii na kujamiiana!
 
mkosefu wa kweli ataoba msamaha. niombe msamaha mimi kwanza kwa kudharau michango yangu na kuamini huwezi kubaki na reputation yako kama ukinisoma au kujibu maoni yangu.

unanidhalilisha sana. mbona kuna wengi tu wanchagua kubaki kimya? kwa nini wewe hufanyi hivyo???????????
babu ni wewe kama sikosei mlileteana mabifu na nguli hapa ukafungua tread uombwe samahani,kama niwewe unaonekana unamind sana mabifu yasiokuwa na mpango.
 
Uncle buji thx but i cnt kesho naenda trip
mnaonaje tupange kukutana sehemu kwa ajili ya kufahamiana?
Hope itakuwa nzuri, haya mambo ni madogo sana wala hayana haja ya kuyaendeleze.
Tusameheane tu tuondoe vinyongo tulivyonavyo. Hamna aliye mkamilifu...
Mnaonaje kesho jioni tukikutana sehemu, let it be at city centre?
Pale florida pub patafaa?
 
Naomba unisamehe sana kwa yote niliyokukosea

pardon granted unconditionally.

Mungu akubariki na uwe na amani. nimefurahia pia mwaliko wa anko wa kukutana kwa ajili kufahamiana na nyama choma baahti mbaya siko dar. i would like to next time

the game is over, sing haleluja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Usijali dia nilimwomba msamaha,NI VITU VIDOGO SANA HASA KWA MM MWANAMKE MAANA HUWA TUNAOMBA MSAMAHA BILA HATA KOSA WAKATI MWINGINE ILI TU KUWEPO NA AMANI
naona leo wewe na lulu tu..kakufanyeje kwani??
 
pardon granted unconditionally.

Mungu akubariki na uwe na amani. nimefurahia pia mwaliko wa anko wa kukutana kwa ajili kufahamiana na nyama choma baahti mbaya siko dar. i would like to next time

the game is over, sing haleluja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ha ha haaa,limefurahi jamaa yangu dhaifu kweli huyu.
 
...............sawa, lakini tuna makinda humu pia, lama pearl!!!!!!!!!!! analalamika mambo ya kipuuzi kule kwenye thread yake!!!!!!!!!!!

lakini hujamtendea Pearl haki...mbona kwenye ile thread hajamtaja mtu...labda iwe sijaisoma vizuri lakini sijaona jina la mtu...je kama ni mtu mwingine anamaanisha?....usiusemee moyo wake
 
babu ni wewe kama sikosei mlileteana mabifu na nguli hapa ukafungua tread uombwe samahani,kama niwewe unaonekana unamind sana mabifu yasiokuwa na mpango.

huwa yanasaidia sana kupatana na kuanza mwanzo mpya wenye heshima. pia kuna mabadiliko mengi tu hutokea ambayo ni positive. mfano mkulu uliyemzungumzia alibadili av yake immediateli na hata lugha yake na yangu ilibadilika, chunguza utaona.

hizi ni positive contributions za conflicts katika jamii. zinatusaidia kuji-adjust kama jamii na kujikosoa.
 
Back
Top Bottom