Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

.
Atakupa miaka 100 uthibishe kama kweli yeye ni mmatumbi_na anajua huwezi mpaka kiama kinasimama

Sio yeye Ila kuna kaka yake anayemtwanga KO bila huruma me naiitaga library inayoishi ndio mwenye udamvudamvu kama huu
 
binfsi naamini tu watu kama kina einstain,tesla,newton,mpaka hawa wa juzi akina billgate,zurkbag,na steve jobs ni watu waliochaguliwa na nature ili kuleta urahisi katika jambo fulani.

kwa sisi wengine inakuwa ngumu hata kusoma alichoandika na kuanza kukifnyia kazi,achilia mbali kubuni kikubwa na bora kuliko alichogundua yeye.

mtu anakaa anatafiti anakuja na kitu,ambacho ukimsoma unaona kina logic,lakini unachojiuliza wazo lake lilizaliwa kichwani mwake wakati yeye akiwa anafanya kitu gani??mbona mimi hapana hayaji kama au tofauti na hayo?

so hata hizo code mnazozisema tunarudi pale,hujachaguliwa na nature kuwa mpole hamna namna kwamba utafungua chochote.
 
Duh kumbe conspiracy theories a.k.a ujinga wa wazungu umekuwa mpana kiasi hiki sikuizi??!! Last time I checked vilikuwa vichache tu kumbe kila leo wajinga wanazaliwa na kuongeza nyama kwenye syllabus ya ujinga...eti walimuua Nikola Tesla?? hahaha nasisi wabongo tunaamini kila kitu tunachokisoma kutoka kwa wazungu hata kama ni clip ya YouTube ya dogo mpiga puli miaka 16 akiwa ghetto anakuambia kufungua jicho la tatu akuingizie unakubali tu
 
So

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom