Hapa lazima Usubiri Familia nzima irudi, khaaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
555990_264935030262331_57401574_n.jpg
 
Mbuzi katoliki ana madharaa,,kama unabisha mbona hamna supu ya nguruwe ppte pale??akipikwa wadudu hawafi hata akifanywaje!!nyie mnaokula hamjish2kii tu???

Badilikeni
 
Mbuzi katoliki ana madharaa,,kama unabisha mbona hamna supu ya nguruwe ppte pale??akipikwa wadudu hawafi hata akifanywaje!!nyie mnaokula hamjish2kii tu???

Badilikeni

nanikakudanganya wewe kuwa hakuna thupu ya nguruwe??? Sema wewe hujawahi iona ??ipo powa sana wangu unapata kitu cha KONGORO lazima uweke maji jagi zima.
 
Mbuzi katoliki ana madharaa,,kama unabisha mbona hamna supu ya nguruwe ppte pale??akipikwa wadudu hawafi hata akifanywaje!!nyie mnaokula hamjish2kii tu???

Badilikeni

maana ya dawa ni ili mdudu akuingie imuue.....ndo maana kukawa na dawa.....
 
mdudu gani utamkaanga kwenye mafuta asife,hebu waacheni walioamua kujinoma wajinome bana alaah mnajifanya mnapinga huku mnaitamani.
 
Back
Top Bottom