Handbag ya Madam II - Nimepewa talaka

Mimi kawaida yangu huwa hata sina muda wa kufikiria kwamba mwenzangu huwa ananisaliti, namwamini kwamba kwa kuwa anajua yeye ni mke wangu basi atakuwa wangu peke yangu akiamua kunisaliti hiyo ni juu yake. Lakini kamwe sitapoteza amani yangu kuanza kupekua simu sijui pochi, sijui katumiwa msg gani na nani? huo utoto siwezi kufanya.
Niwape true stori mimi na wife tumebalishana handsets sasa juzi nimekuta jina la kiume huyo jamaa nikampigia nikiwa namfananisha jamaa ambaye tuliwahi kusoma wote mwenye jina kama lake lakini akesema sio yeye na wala hatoki mkoa wa jamaa yangu, akataja mkoa anaotoka wife ndiyo nikmtajia kwamba nimeoa mkoa huo, nikamuuliza eneo analotoka ikaonekana ni kulekule anakotoka wife, kutaja kijiji akasema yeye anatoka kijiji cha jirani na cha wife. Mwisho nikamuuliza kuhusu mke wangu akasema anamfahamu na walisoma wote shule ya msingi. Akanitajia baba yake na ndugu zake wengi. Tukacheka sana na kufurahi kama mtu na shemeji yake. Niliporudi nyumbani nikamweleza wife katika hali ya kawaida tu na yeye akaniambia hivyo hivyo kwamba walisoma wote na ikaishia hapo. Na mpaka sasa sijawahi wala sina wazo lolote baya kuhusiana na huyo kaka. Na mara nyingi tumekutana na wanaume ambao wanafahamiana na wife tunatambulishana na kufurahiana tu, vivyo hivyo kwa upande wangu tukikutana na wadada ninaofahamiana nao wala hakuna anayepoteza muda kumfuatilia mwenzake. Hiyo yote ni kwa sababu tunaaminiana BASI, na tunaishi ndoa ya furaha sana tu na Mungu anazidi kutubariki sana.

YAP MI NAKUPA TRUST YANGU UKIISHINDWA KUITUNZA SIO KAZI YANGU!haya mambo ya kuanza kufuatiliana uliongea na nani,nani katuma sms nani kapiga sijui nini mi hat siyafagilii!mi huwa najiuliza hivi nisipokuta simu yake ina majina ya wanawake au nikikuta sent items zimejaa sms za pasaka na mwaka mpya ndo manake hana anaowapigia na kuwatumia sms za hovyo?au nikikuta inbox imejaa sms zangu tu ndo niamini ni mimi peke yangu anaitumia sms?ah wapi?mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke muacheni tu!natimiza wajibu wangu kama mke hayo mengie siyo kazi yangu!
 
na we huwa unapekua pochi ya mamsap?

Ungenijua kwa karibu ungeona how funny ur question is

i hardly knows even how many handbags she has...

wanawake wengi hawajui tu
mwanaume anakuwa na matatizo ya insecurity na obssession
akiwa yuko focused sana na one woman....
wapeni waume zenu space ya ku chase viburudisho huko
muona na nyinyi mtakavyokuwa na some freedom na hata kum miss
hawezi pata mda huo...
 
Ungenijua kwa karibu ungeona how funny ur question is

i hardly knows even how many handbags she has...

wanawake wengi hawajui tu
mwanaume anakuwa na matatizo ya insecurity na obssession
akiwa yuko focused sana na one woman....
wapeni waume zenu space ya ku chase viburudisho huko
muona na nyinyi mtakavyokuwa na some freedom na hata kum miss
hawezi pata mda huo...
THIS IS BEYOND BORDERS,sasa yani nikishamruhusu awe na kishtobe ndo atakuwa hapekui pochi yangu!ah bora apekue tu,sana sana atajikata na kiwembe cha kuchongea wanja !
 
THIS IS BEYOND BORDERS,sasa yani nikishamruhusu awe na kishtobe ndo atakuwa hapekui pochi yangu!ah bora apekue tu,sana sana atajikata na kiwembe cha kuchongea wanja !

Ha haa haa una wivu mbaya sana
unaweza kuua...

jealousy is the most powerful emotion....shauri yako
 
Ha haa haa una wivu mbaya sana
unaweza kuua...

jealousy is the most powerful emotion....shauri yako
ah vishtobe wenyewe wa siku hizi hawa mh!mi nina wivu mkuu lakini siko obsessed like hiyo ya kuanza kupekua pekua mavitu ya bwana mkubwa,hapana lakini kuwa na wivu ni sahihi bana,si unakumbuka theory yangu!NI CHANGU NAKIMILIKI,NAKIPENDA,NATAKA KIWE CHANGU PEKE YANGU!lakini kuwa changu haimanishi hana maisha yake na marafiki zake ambao wanashare interest zao kama wanaume au hata pengine wanawake!
 
Back
Top Bottom