Hamuze kutunyanganya vyeti au elimu,mnaweza kuchukua leseni zenu.

vimon

Senior Member
Apr 3, 2008
183
195
pinda huwezi kutudharau madaktari kwa taarifa yako tuna uwezo wa kuondoka au kusoma vitu vingine poatgraduate. Kwa hiyo watch out hii vita utachemsha kwa sababu kutibu huwezi na umekurupuka.
 
mkuu kweli huyu mp kakurupuka kabisaaaaaaaaaaaaa
 
pinda huwezi kutudharau madaktari kwa taarifa yako tuna uwezo wa kuondoka au kusoma vitu vingine poatgraduate. Kwa hiyo watch out hii vita utachemsha kwa sababu kutibu huwezi na umekurupuka.[/QUOT
kwa hiyo mmefikia wapi mkuu. nawataka msirudi nyuma
 
Acha mkwara utakula nyasi mtaani.madaktari maisha sio kama mnavyofikiria.msijilinganishe na wenzenu.wao wanohospitali binafsi.acheni kutesa watu.
 
Back
Top Bottom