Avanti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,209
- 239
Labda ni tatizo, lakini huwa najisikia raha sana pale mwanamke anapotoa asante kwa kitu nilichompa. Hii ni kwa sababu hata awe wa maana vipi huwa nikimpa kitukwa nia ya kumhonga akakubali basi huwa najiona ni kama nimeshampata na kumnanihi.. Ni mara moja tu niliwahi kuona jamaa (mwanaume) anapewa mahela na mdada, nilijisikia hovyo. Katika my life hamna kitu nachukia kama kuhongwa na mwanamke, ndiyo maana hata tukiwa mahali tunatumia na wadada wenye mkwanja zaidi yangu huwa najiwahi tu kutoa mwenyewe hata kama naumia ili nijione nipo juu yao. May be its a problem!!?? Any comments?