Hamna kitu ninachopenda kukifanya kwa mwanamke kama kumhonga

ndo mana tunataka katiba mpya na ikiandikwa tu nakuonea huruma mkuu mana hilo tatizo lako litakwisha hutahonga tena tutawaomba waingize kifungu cha lazima mwanamke kumuhonga mwanaume sa sijui utajiua au?
 
Mh mi napewa siongwi bana, unahonga ili upate somethings in return au sio?
 
Kumbe mpo wapenda kuhonga!!!
Nataka kwenda shoping kariakoo haizidi 1m
Nataka kubadilisha usafiri hiki kigari mashost wanakiita "ya mama"
Nataka kama la bosi wangu ofisini wajue nipo na wewe
Halafu kule site hakujafanyika kitu.
Ila uhakika wa kunanihi sijaelewa labda laaziz anieleweshe
 
endelea hivyo hivyo kuhonga kisha unapata mafeeling ya kunanihii manake
kwa style hiyo kamdudu katakupita pembeni.

Labda ni tatizo, lakini huwa najisikia raha sana pale mwanamke anapotoa asante kwa kitu nilichompa. Hii ni kwa sababu hata awe wa maana vipi huwa nikimpa kitukwa nia ya kumhonga akakubali basi huwa najiona ni kama nimeshampata na kumnanihi.. Ni mara moja tu niliwahi kuona jamaa (mwanaume) anapewa mahela na mdada, nilijisikia hovyo. Katika my life hamna kitu nachukia kama kuhongwa na mwanamke, ndiyo maana hata tukiwa mahali tunatumia na wadada wenye mkwanja zaidi yangu huwa najiwahi tu kutoa mwenyewe hata kama naumia ili nijione nipo juu yao. May be its a problem!!?? Any comments?
 
Aisee mimi bahili sana, yaani hata mademu wa ofisini hawajui hata ofa ya maji ya uhai ya mia tatu toka kwangu, sijawahi toka au ongozana nao lunch nisije lundikiwa bili

Nikimpa demu "ka-ofa" basi namendea anipe ile kitu, ikishindikana nakata mawasiliano mapema kabla sijachunwa sana
 
Mmmmmmmh HONGO haina RISITI!!!! Hi ya Gongo la Mboto hapana afadhali Goba!!!!

nitakupeleka goba ukaangalie kiwanja kinachofaa sawa eeh. ila kabla ha2jaenda huko kuna hoteli nzuuuri ina room safi,ful kiyoyozi nimeiandaa kw ajili ye2....eeeh
 
Duu pole Avanti...ukija kufumbuka macho yako utakuwa umechelewa.... Ungejua siku hizi wanaume kuhongwa ndo deal...ukimwona kama huyo ndo wakula naye sambamba ili watoto nyumbani wapate kula wali siku hiyo...Ohhhhhhooooooo we karaga bao utakufa maskini mjini hapa..
 
Kuhongwa raha sana ila muwe mnawakumbuka na wazazi wenu utakuta mwanaume kakazana kuhonga huku wazazi wake huko wanakokaa wanalala na njaa, Au mtu aliyeoa home wanashindia kauzu kila siku huku anaenda kuhonga nje.lol

hayo maneno
 
nitakupeleka goba ukaangalie kiwanja kinachofaa sawa eeh. ila kabla ha2jaenda huko kuna hoteli nzuuuri ina room safi,ful kiyoyozi nimeiandaa kw ajili ye2....eeeh

Sawa kabisa, inabidi tuwahi kiwanja hicho ni kizuri sana tukichelewa tutakikosa, lakini hilo la hotelini hilo lipo tu.
 
tatizo nishafanya booking cku ikipita hela inakua imeenda bure .....hlf ni booking y gharama sana.
 
hata ht boy frend wako hajawahi kukuhonga!! mmmmh gaga! 2wambie ukweli

Mi nasema nahesabu kama napewa sihesabu kama nahongwa, basi kama kupewa ni kuhongwa nahongwa sana tu tena sio kitoto
 
tatizo nishafanya booking cku ikipita hela inakua imeenda bure .....hlf ni booking y gharama sana.

Hiyo gharama haiwezi kuzidi gharama ya kiwanja bwana, unajua shilingi ya leo sio ya kesho, tukanunue tu kiwanja kile, afu tukitoka tunaunganisha huko huko.
 
Back
Top Bottom