Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

Mkuu asante kwa hii post japo ni ya kusikitisha sana. Na jamii nayo ina makosa. Walikuwa wanampamba na majina badala ya kuchukuwa hatua ikiwemo kususia gari lake.
Mkuu macho,

Yupo jamaa ni bodaboda ssahiv hana miguu yote alikatwa.

Na yeye alikuwa hivi hivi, rafiki wa karibu wakawa wanamuambia ndugu acha yule jamaa ni mpemba, lakini kuna wale wanafki wanasema unajua sheikh

Alipata ajali ile miguu ulikuwa kama mlenda ukimshika, amekatwa miguu yote sahiv yupo tu kwenye kibaiskeli.

Vijana ukweli hatusikii na wala hatutaki kuambiwa.
 
Daa. Wanasema majuto ni mjuukuu. Asante kwa fundisho hili.
 
Miaka ya 2000 Mwanzoni, Urambo Tabora, kuna jamaa alikuwa akiendesha gari ya Halmashauri, mkonga. Alikuwa na mwendo usio wa kawaida. Alikuwa akisema siku mkisikia nimepata ajali, basi mtenge tu msiba.

Na kweli, ajali iliyomkuta, humtazami mara mbili. Alikua akiitwa Chonza kama sijamsahau jina.

Kuna wengine ni wagonjwa wa akili na wana leseni za udereva.
 
D
Noma sana man...ila ni probox...yaani sehemu popote nikifika nikakuta usafiri ni mchomoko amani huniisha kabisa. Hili jina silipendi balaa. Inaashiria mwendo kasi tupu.
Aah kama ni Probox nayo ni balaa inatembea mno harafu gari ya chini kuona kona na gari ya upande mwingine ikiwa mwendokasi inataka mtu kweli...nasikia hizo gari za kibondo zinaruka sio kukimbia kumbe wanaziita Mchomoko...
 
Back
Top Bottom