cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,377
- 1,716
Unatumia nguvu mpaka unakimbia nyuzi zako ,unatafuta documentary zipo against unakuja na assumptions zako mda huo kuna wagalatia wenzio pale makanisa yao wanavunjwa 😅😅.
Jamaa zako hata DNA hawataki kupima ni watu wa mchongo.

UNO KARIBU WOTE WAKIRISTO LKN WAMEKUBALIANA ISREAL WAVAMIZIHuu ndio ukweli, Wapelestina waimbisha ulimwengu kuhusu wao ni nani, Wameipindisha historia na kufanya Uongo kuwa Ukweli.
Sehe hiyo kuitwa Palestina hiyo ni kweli, Utawala wa Warumi uliitwa sehemu inayoitwa Judea Karibia Karne ya pili CE. Na baada ya hapo, sehemu imetawaliwa na watu wengi mno, Utawala wa mwisho ni Ottoman Empire ambao ulitwala kwa miaka karibia 402 na kuondoka baada ya kushindwa vita vya kwanza 1918, Mandate ya Waingereza iliingia kuingalia na kuisimamia sehemu hiyo inayoitwa Palestine na maeneo mengine kama Trans Jordan, Lebanon, Iraq...In actual sense Mwingereza ndio katengeneza mataifa hayo....
Waarabu waliokuwa wakiishi maeneo hayo walikuwa wanaitwa "Arabs" Miaka yote ya kuwepo kwao mahali hapo, Na hata Partition ya UN Resolution # 181 ya 1947, Iligawa nchi huyo ya Palestina kwa "Arabs" na "Jews" . Utambulisho wa "Wapelestina" umezaliwa miaka ya 60 tu na PLO iliyoanzishwa na Waarabu kutetea haki za Waarabu waliko mahali hapo.
Zuheir Hussein kiongozi wa PLO mwaka 1977 aliiweka vizuri alipohojiwa na gazeti la Kidachi, Truth.....
- The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
😅😅😅Unapelekeshwa wenzio hata kupima DNA hawaruhusiwi pale taifa la MunguToa zako mkuu Accumen....Mbona ziko nying mno! ....Ni mimi nimeitengeza hiyo....Leta zako Mkuu....Jamii Forum haina ubaguzi....
UNO KARIBU WOTE WAKIRISTO LKN WAMEKUBALIANA ISREAL WAVAMIZI
Wapalestina ndio wavamizi
"Verily, this is a certain truth. Wherefore praise the name of thy Lord, the great Allah." (The Inevitable - verse 95).
Hii imekata kama Ile issue ya M23.Huu ndio ukweli, Wapelestina waimbisha ulimwengu kuhusu wao ni nani, Wameipindisha historia na kufanya Uongo kuwa Ukweli.
Sehe hiyo kuitwa Palestina hiyo ni kweli, Utawala wa Warumi uliitwa sehemu inayoitwa Judea Karibia Karne ya pili CE. Na baada ya hapo, sehemu imetawaliwa na watu wengi mno, Utawala wa mwisho ni Ottoman Empire ambao ulitwala kwa miaka karibia 402 na kuondoka baada ya kushindwa vita vya kwanza 1918, Mandate ya Waingereza iliingia kuingalia na kuisimamia sehemu hiyo inayoitwa Palestine na maeneo mengine kama Trans Jordan, Lebanon, Iraq...In actual sense Mwingereza ndio katengeneza mataifa hayo....
Waarabu waliokuwa wakiishi maeneo hayo walikuwa wanaitwa "Arabs" Miaka yote ya kuwepo kwao mahali hapo, Na hata Partition ya UN Resolution # 181 ya 1947, Iligawa nchi huyo ya Palestina kwa "Arabs" na "Jews" . Utambulisho wa "Wapelestina" umezaliwa miaka ya 60 tu na PLO iliyoanzishwa na Waarabu kutetea haki za Waarabu waliko mahali hapo.
Zuheir Hussein kiongozi wa PLO mwaka 1977 aliiweka vizuri alipohojiwa na gazeti la Kidachi, Truth.....
- The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
UK imetawala Marekani miaka mingi tu. Na lilikuwa koloni lakeNi lini mkuu.....tupe lini makubaliano hayo yalifanyika? Je yalikuwa enforced...? Unajua Egypt imetawala Gaza miaka mingapi...Anyway Israel imetengenezwa na Mataifa haya 1947.......Kama kuna wa kumlaumu for creation of Israel, lawama tupia UN
Summary of the UN General Assembly vote on Resolution 181, 29 November 1947
Adopted at the 128th plenary meeting:
In favour: 33
Australia, Belgium, Bolivia, Brazil, Byelorussian S.S.R., Canada, Costa Rica, Czechoslovakia, Denmark, Dominican Republic, Ecuador, France, Guatemala, Haiti, Iceland, Liberia, Luxemburg, Netherlands, New Zealand, Nicaragua, Norway, Panama, Paraguay, Peru, Philippines, Poland, Sweden, Ukrainian S.S.R., Union of South Africa, U.S.A., U.S.S.R., Uruguay, Venezuela.
Against: 13
Afghanistan, Cuba, Egypt, Greece, India, Iran, Iraq, Lebanon, Pakistan, Saudi Arabia, Syria, Turkey, Yemen.
Abstained: 10
Argentina, Chile, China, Colombia, El Salvador, Ethiopia, Honduras, Mexico, United Kingdom, Yugoslavia.
Ni lini mkuu.....tupe lini makubaliano hayo yalifanyika? Je yalikuwa enforced...? Unajua Egypt imetawala Gaza miaka mingapi...Anyway Israel imetengenezwa na Mataifa haya 1947.......Kama kuna wa kumlaumu for creation of Israel, lawama tupia UN
Summary of the UN General Assembly vote on Resolution 181, 29 November 1947
Adopted at the 128th plenary meeting:
In favour: 33
Australia, Belgium, Bolivia, Brazil, Byelorussian S.S.R., Canada, Costa Rica, Czechoslovakia, Denmark, Dominican Republic, Ecuador, France, Guatemala, Haiti, Iceland, Liberia, Luxemburg, Netherlands, New Zealand, Nicaragua, Norway, Panama, Paraguay, Peru, Philippines, Poland, Sweden, Ukrainian S.S.R., Union of South Africa, U.S.A., U.S.S.R., Uruguay, Venezuela.
Against: 13
Afghanistan, Cuba, Egypt, Greece, India, Iran, Iraq, Lebanon, Pakistan, Saudi Arabia, Syria, Turkey, Yemen.
Abstained: 10
Argentina, Chile, China, Colombia, El Salvador, Ethiopia, Honduras, Mexico, United Kingdom, Yugoslavia.
"Thus saith the Lord God unto Jerusalem; Thy birth and thy nativity is of the land of Canaan; thy father was an Amorite, and thy mother an Hittite."
– Ezekiel, 16.17.