KIRUNGI
Member
- Jan 14, 2012
- 41
- 8
baada ya majibizano ya muda mrefu kati ya maalim seif na mhe hamad rashid kwamba hamad hawezi kwenda wawi kwa kuwa hakubaliki, hamad ameamua kuvunja ukimya na kwenda wawi. japo kuna watu wanasema amekodisha meli kutoka bara na wengine wakidai kwamba watakaokwenda kumsikiliza ni ccm. hao wamesahau ukweli kwamba hamad ni mbunge wa wawi anapaswa kusikilizwa na wananchi wote.