Hamad Rashid ku unguruma Wawi kesho jumapili

KIRUNGI

Member
Jan 14, 2012
41
8
baada ya majibizano ya muda mrefu kati ya maalim seif na mhe hamad rashid kwamba hamad hawezi kwenda wawi kwa kuwa hakubaliki, hamad ameamua kuvunja ukimya na kwenda wawi. japo kuna watu wanasema amekodisha meli kutoka bara na wengine wakidai kwamba watakaokwenda kumsikiliza ni ccm. hao wamesahau ukweli kwamba hamad ni mbunge wa wawi anapaswa kusikilizwa na wananchi wote.
 
Nasikia atapeperusha bendera ya mahakama au CHADEMA maana CUF walishaagana!
 
Tusubiri tuone maana hapo wenyewe kwa wenyewe hapo wazee wa fitna fully at its best!!!!mipasho kwenda mbele na fitna tupu hapo mapandikizi kibaooo na mipasho!!yangu macho,,,,,,,,
 
baada ya majibizano ya muda mrefu kati ya maalim seif na mhe hamad rashid kwamba hamad hawezi kwenda wawi kwa kuwa hakubaliki, hamad ameamua kuvunja ukimya na kwenda wawi. japo kuna watu wanasema amekodisha meli kutoka bara na wengine wakidai kwamba watakaokwenda kumsikiliza ni ccm. hao wamesahau ukweli kwamba hamad ni mbunge wa wawi anapaswa kusikilizwa na wananchi wote.

Mbona unajikanyaga hivyo . Mbona siri imebainika kuwa sasa habari maelezo Dar ambako alikokuwa anashinda sasa hakuna kabisa wana habari wote wapo busy kufuatilia mgomo wa ma doktari.

Tusubiri tuone, Je mkutano atafanyia wapi? au anakwenda kusalimu waze wake tu?

Acheni jazba vijana;mm cjazungumzia habari ya waandishi wa habari;hayo ni yenu.mm najua kesho majibu wawi;yy shida yake kusema na wapiga kura.
 
baada ya majibizano ya muda mrefu kati ya maalim seif na mhe hamad rashid kwamba hamad hawezi kwenda wawi kwa kuwa hakubaliki, hamad ameamua kuvunja ukimya na kwenda wawi. japo kuna watu wanasema amekodisha meli kutoka bara na wengine wakidai kwamba watakaokwenda kumsikiliza ni ccm. hao wamesahau ukweli kwamba hamad ni mbunge wa wawi anapaswa kusikilizwa na wananchi wote.
Sasa kesho mikutano mingapi mara Chadema wako huko mara CUF wanaandamana heeeeh HR nae ana mkutano....kazi ipo
 
Mbona unajikanyaga hivyo . Mbona siri imebainika kuwa sasa habari maelezo Dar ambako alikokuwa anashinda sasa hakuna kabisa wana habari wote wapo busy kufuatilia mgomo wa ma doktari.

Tusubiri tuone, Je mkutano atafanyia wapi? au anakwenda kusalimu waze wake tu?

Kazi ya kuongesha watoto imekushinda umehamia umbeya na unafiki....kama huna jipya funga bakuli lako
 
Atapeperusha ya bunge;HR kachaguliwa bwana!huyu hajateuliwa na shein;usifanye masihara na kutangazwa na tume
 
hana haja yakubeba watu kuwapeleka wawi;nyny mlisema hana watu wawi.ngoma kesho mwambien ndevu asikimbie ukweli;kesho awepo wawi ashuhudie mwisho wa usulutani wake
 
Back
Top Bottom