Hamad Rashid ku unguruma Wawi kesho jumapili

Mbona unajikanyaga hivyo . Mbona siri imebainika kuwa sasa habari maelezo Dar ambako alikokuwa anashinda sasa hakuna kabisa wana habari wote wapo busy kufuatilia mgomo wa ma doktari.

Tusubiri tuone, Je mkutano atafanyia wapi? au anakwenda kusalimu waze wake tu?


Barubaru,
ullikimbia Zanzibar mnajinadi nyie ni wa Oman mbona hauiishi kufuatulia siasa za kwetu hebu tupe dondoo kidogo za siasa za Oman ili tupate jifunza.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
hana haja yakubeba watu kuwapeleka wawi;nyny mlisema hana watu wawi.ngoma kesho mwambien ndevu asikimbie ukweli;kesho awepo wawi ashuhudie mwisho wa usulutani wake

Hahahaha wewe ndiye Hamad Rashidi! Vipi umeshafika Pemba?
 
Barubaru,
ullikimbia Zanzibar mnajinadi nyie ni wa Oman mbona hauiishi kufuatulia siasa za kwetu hebu tupe dondoo kidogo za siasa za Oman ili tupate jifunza.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Kwetu hakuna longo longo, Hapa ni utawala wa kisultani na Kila kabila lina mwakilishi wake kwenye majlis shuura (Bunge).


Kama kutatokea mgogoro basi utakuwa miongoni mwa kabila lenyawe na sio jamii.

Je unajuwa maana ya kabila?

 
Back
Top Bottom