Hamad rashid alishiriki kuijenga chadema na kuidhofisha cuf ?

nguluvisonzo

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
515
71
katika mkutano wa hadhara uliofanyika temeke kata ya makangarawe Malimu Seif Sharifu Hamad alidai nanukuu gazeti la Mwananchi la tarehe 10 /01/2012''MIONGONI MWA TUHUMA ZA KUFUKUZWA HAMAD, NI KUVUJISHA SIRI ZA CHAMA,KUSHINDWA KUWASILISHA HOJA ALIZOKUWA AKIPEWA NA CHAMA KUPELEKA BUNGENI,HUKU AKIDAIWA KUWAPA WABUNGE WA CHADEMA AMBAO ALIWATAJA KUWA NI DK WIBROAD SLAA NA ZITTO KABWE".

Maalim naona sasa amekolea na CCM B,huyu jamaa ni hatari sana hataki kupingwa hata kidogo,katika hoja nzito ambazo zimekwisha wahi kutolewa na DR Slaa na Zitto mimi sioni kama zilitoka CUF.

Maalim katika sakata la CUF sio la HR pekee na mengine toka enzi za Mapalala dhahiri jamaa ni dikteta,hataki wengine wawe viongozi wenye kuwa na sauti,baada ya kupata umakamu jamaa kafika wengine wote ni takataka,hata Lipumba ni boya pale(mwenyekiti hewa asiye na kauli juu ya uendeshaji wa chama).

je maneno ya Maalim yanaukweli? DR na Zitto tupeni uhalisia wa maneno haya aliyofunguka kinala wa CUF.
 
Mkuu, hii kesi si imeisha?!, maana yote aliyosema Seif na maamuzi yote ya CUF juu ya Hamad Rashid ni batiri kwa mujibu wa sheria, so unataka tujadiri ubatiri?! Maalim hana lake maana Hamad Rashid ataendelea kupeta ndani ya Cuf na ndani ya bunge, Seif sasa hanalake.
 
maalim seif ni dikteta mkubwa tu, na hiyo ndo tabia ya watu kama yeye
 
Hamad Rashid amevuna alichopanda.

sasa anatapatapa kutwa kucha
kulala na kushinda maelezo.

Pole sana
 
Back
Top Bottom