Halmashauri yaamrisha mgambo kukatakata bidhaa za machinga Mwanza kwa kukataa kuhama

Kwa nini hao mgambo wafanye hayo usiku?....
Kama taratibu zimekiukwa wafanyabiashara wangeitwa na kuelezwa.... utaharibuje chakula (na mali ya mtu)?... mbaya zaidi wakati mwenyewe hayupo!
 
Shehena ya matunda ya wafanyabishara wa soko la Kirumba jijini Mwanza imeharibiwa kwa kukatwakatwa na watu wanaoshukiwa kuwa watendaji wa halmashauri ya Ilemela na kusababisha hasara ya mamilioni kwa wakazi wa jiji hilo

Mgambo ndio waliotumwa kutekeleza kitendo hichomusiku wa kuamkia Ijumaa kushinikiza wafanyabiashara kuhama kwenye soko hilo

Wafanyabiashara hao wameongea kwa masikitiko wakisema biashara yao wameifanya kwa fedha za mikopo na hawajui watazilipaje na Rais Magufuli alishawaruhusu wafanye biashara yao kwenye maeneo yasiyo rasmi hadi watakapotafutiwa sehemu nyingine,

mkuu wa wilaya ya Ilemela alitembelea sehemu hiyo na kukataa kuongea na waandishi wa habari na mkurugenzi wa jiji hilo alipotafutwa hakupatikana
biashara katika soko hilo zilisimama kwa siku nzima huku kukiwa na ulinzi mkali wa polisi

Magufuli sialiwaruhusu juzi tuu !!!?? Mbona tutakoma mpaka miaka 5 ihishe daaah,
 
Hali inazidi kuwa tete... viongozi wamekosa busara. Wakiendelea kwa style hii.... kutatokea chuki kubwa kati ya serikal na wananchi.. na kama mnavyoona.. baadhi ya sehem wananchi wameanza kukata tamaa..
Mhe rais embu fanya jambo.. kabla hali haijafika point of no return
 
sasa wamaleyakatakata matunda kwani matunda yalifanya nini?
kwasababu ukipiga hesabu hayo matunda hapo sokoni yalipelekwa tu. na hayana makosa.
 
Walijua yale matunda ni yakujengea UKUTA siunajua kuwa kwa sasa kazi ni moja tu^ kuhakikisha ukuta haupandi
 
Rais alitafsiriwa vibaya, ulikuwa utani kama ule wa kufyatua watoto wengi atawasomesha bure.
 
Back
Top Bottom