Hali ni tete Nzega kijiji cha Mwanshina

Emmanuel Njile

Senior Member
Jul 31, 2013
130
7
Hali isiokua ya kawaida Machimbo ya Mwanshina watu wanapigwa na kujeruhiwa huku maaskari wanauza shift kwa matajiri.
 
Saizi kunagari linaelekea kununua shift usiku huu kazi kwako wewe mkuu wa wilaya tumeanza kutia shaka kuna shea nawe?
 
Naongea haya manake namimi ni mhanga wa hili tukio na mama ntilie kuchukuliwa vyombo vyao vikiwa na vyakula hii ndo Aman
 
Shift za nini mkuu andika tarifa nzima ueleweke.
Matajiri hulipia 3,000,000/= kwa saa 1 (shifti) kwa walinzi wa maeneo ya machimbo ya dhahabu ya Resolute ili wachimbe.Mwekezaji mkubwa (Resolute) alimilikishwa eneo kubwa huku wachimbaji wadogo wakibaki hawana maeneo.
 
Back
Top Bottom