Emmanuel Njile
Senior Member
- Jul 31, 2013
- 130
- 7
Hali isiokua ya kawaida Machimbo ya Mwanshina watu wanapigwa na kujeruhiwa huku maaskari wanauza shift kwa matajiri.
Shift za nini mkuu andika tarifa nzima ueleweke.Hali isiokua ya kawaida Machimbo ya Mwanshina watu wanapigwa na kujeruhiwa huku maaskari wanauza shift kwa matajiri.
Matajiri hulipia 3,000,000/= kwa saa 1 (shifti) kwa walinzi wa maeneo ya machimbo ya dhahabu ya Resolute ili wachimbe.Mwekezaji mkubwa (Resolute) alimilikishwa eneo kubwa huku wachimbaji wadogo wakibaki hawana maeneo.Shift za nini mkuu andika tarifa nzima ueleweke.