Mkuu sio analipwa ngapi ni njaa tu inamsumbua. kanunuliwa sahani ya wali na Maharage anaona hayo ndio maisha.Shame.nnauye amewaharibu sana nyie vijana.......hivi anakulipa kias gani
Mkuu sio analipwa ngapi ni njaa tu inamsumbua. kanunuliwa sahani ya wali na Maharage anaona hayo ndio maisha.Shame.nnauye amewaharibu sana nyie vijana.......hivi anakulipa kias gani
Habari ni nzuri sana hizi. Itakua safi sana kama watafungwa.
"Mamluki"Kimbele mbele chao ndio kinawapöza, kwani huko Tarime wamefata nini?.
Ni sahihi washitakiwe maana Lissu na usomi wake wote na heshima tuliyokuwa tunampa huyo dogo sasa amegeuka kuwa na akili mbofu sababu ya slaa na mbowe. Siasa za nguvu za hata kulazimisha kuchukua maiti ili kujinufaisha kisiasa nasema ni ujinga sana ambao kama hautakemewa kama ambavyo ufusadi haukemewi ipasavyo nchi itaishia kubaya, bado tunataka amani watoto wetu wasome kwa raha huku tukihangaika utafuta pesa kwa amani
hakuna cha kiherehere hapa, watu wamekaa mbele ya computer zao halafu wataka kujifanya wajeshi. Nendeni Tarime mkaandamane kama mlivyoa ndamana Mbeya. Si mlijua mtafanya upuuzi wenu kila sehemu.
Kimbele mbele chao ndio kinawapöza, kwani huko Tarime wamefata nini?.
Ahahaha, Chadema-kata kakasirika, wabunge wenu wa viti maalumu mchakato wenu wa kuwapata ni Uchagga na ujamaa, mfano kidogo nakupa. Dada yake Tindu Lissu kapewa ubunge, mtoto wa Ndesamburo kapewa ubunge, demu wa Dk Slaa wa zamani kapewa ubunge, nimekutajia hawo kwa uchache endelea kukasirika Chadema-kata
Kuna tukio kama hili liliwahi kujitokeza ktk mgodi wa BUZWAGI ambapo polisi TZ walizingatia hoja zenu za kutotumia risasi za moto kwa wavamizi wasio na siraha hizo... MADHARA YAKE polisi wa kike alibakwa na wavamizi hao hadi kupoteza fahamu, wale wa kiume walijeruhiwa vibaya na wote kulazwa bugando, lakin pia waliporwa Silaha 2 smg zikiwa full risas. Baada ya muda silaha hizo zilikamatwa Nzega ktk matukio ya ujambazi wa kuteka magari ambapo baadhi ya abiria wasio na hatua waliuawa. Swali la msingi je ni Haki waliyofanya hao wavamizi kwa polisi wetu na abiria kule nzega? Je hawa wavamizi tuwaite majambazi kwa kuteka magari kule Nzega lakin tuwaite raia wema wasio na silaha walivyo kwenda kuvamia na kufanya madhara machafu kwa askari wetu... Je ni nani alilikemea hili na kuahidi kuwatibisha wale askari pia kuwazika abiria waliofariki kwenye tukio la ujambazi? Au wao hawana haki ya kutetewa.. NAHISI TUNATAFUTA UMAARUFU WA KISIASA.
Ni sahihi washitakiwe maana Lissu na usomi wake wote na heshima tuliyokuwa tunampa huyo dogo sasa amegeuka kuwa na akili mbofu sababu ya slaa na mbowe. Siasa za nguvu za hata kulazimisha kuchukua maiti ili kujinufaisha kisiasa nasema ni ujinga sana ambao kama hautakemewa kama ambavyo ufusadi haukemewi ipasavyo nchi itaishia kubaya, bado tunataka amani watoto wetu wasome kwa raha huku tukihangaika utafuta pesa kwa amani
Ni sahihi washitakiwe maana Lissu na usomi wake wote na heshima tuliyokuwa tunampa huyo dogo sasa amegeuka kuwa na akili mbofu sababu ya slaa na mbowe. Siasa za nguvu za hata kulazimisha kuchukua maiti ili kujinufaisha kisiasa nasema ni ujinga sana ambao kama hautakemewa kama ambavyo ufusadi haukemewi ipasavyo nchi itaishia kubaya, bado tunataka amani watoto wetu wasome kwa raha huku tukihangaika utafuta pesa kwa amani
Rai ya CDM ni kutetea wanyonge. Sasa wewe ulitaka wafanye nini ili kuwatetea wanyonge wa Tarime dhidi ya hao wanyonyaji? Use you head and not your ass!! MORON!!!!!!!!!!Huu ndio UTAWALA WA SHERIA. Huwezi mkamata mtuhumiwa ukajichulia sheria mkononi. Ni lazima sheria ichukue mkondo wake na nilazima mahakama tuipe uhuru wake... TUNDURISU imenidharirishwa mwanaharakati mwenzio... Vifo vilivyotokea huko si vya kichama, inawezekana hata marehemu walikuwa hawana kadi za CDM. nini kilikupeleka huko kama si UCHOCHEZI? Any way nisikudhoofishe zaid tusubiri sheria itasema nin.
Kwanini wewe unamwamini Regia mtema? let ushahidi
Michuzi kuandika hivyo katumia waandishi wake ndomana kaleta huu ukweli
Mh. Regia
Serikali ina nguvu na lazima hilo tulitambue!
Kama unataka kujua nguvu ya Serikali tazama kwa jirani zetu kwa Mh. Kaguta. Tupia macho na uone kinachoendelea Libya. Tusione Mh. J.K na Serikali yake wamefumbia macho baadhi ya mambo tukadhani hawaoni, hawajui wala hawasikii. Tukumbuke uchaguzi umeishapita, hivyo sidhani kama Rais Kikwete anashindwa kufanya kama anayoyafanya Rais Kagame au Rais Museveni. Pamoja na kasi hii CDM, lakini lazima tuchanganye na zetu pia!