Uchaguzi bunda kata ya nyasura, hali ya usalama ni mbaya, mabomu yanapigwa usiku huu

SCOOBY DOO

Member
Dec 16, 2013
76
69
Mods nimekuwa nikituma habari zangu halafu mnazifuta, hii si sawa ni kukiuka haki za watu kupata habari, naomba hii usiifute kabisa.Kwa ujumla mpaka sasa hali ya hapa Bunda hususani katika Kata ya Nyasura hali ni mbaya, Mkuu wa Wilaya akishirikiana na Mzee wa Wasira wamereta askari wengi kutoka JKT, askali hao ambao wamepewa kazi maalumu tofauti za zile za askari wengine, wao wamefikishiwa katika shule ya sekondari ya Bunda ndiko wanakoishi, lakini pia askali hao kwa sasa ndio wanaonekana wakirinda nyumbani kwa DC!! yaani DC hawaamini tena askari wake wa kawaida.Kimeingia kikosi maalumu kinachosemekana kimetoka ikulu, hiki kazi yake ni kutesa, kuua na kuteka. Kikosi hicho chenye watu takribani sita kimewasili Bunda toka tarehe 06 mwezi huu. Kikosi hicho kimepewa orodha ya majina ya watu wanaotakiwa kudhibitiwa, watu hao ni wale ambao wanaonekana wanaushawishi ndani ya Kata hiyo na ambawo hawaiungi mkono CCM. Chanzo cha taarifa hii kimevuja kutoka kwa kiongozi mmoja wa umoja wa vijana wa CCM ambaye alikuwa akimpigia simu baba yake ili amshawishi ndugu yake mmoja ambaye yuko kwenye orodha ya kushughulikiwa aweze kuondoka Bunda haraka.Wakati huu ninapoandika taarifa hii, mabomu ya machozi na risasi za moto zinapigwa huko Nyasura, inaonekana askari hao wanatumia magari ya CCM kutembelea, vijana kadhaa wameisha jeruhiwa, hali ni mbaya sana hapa Nyasura, nafikiri Wasira ameamua kusababisha vurugu ili uchaguzi usifanyike ili asipate aibuNtaaendelea kuwa update kinachoendelea Nyasura Bunda maana nimekuja Bunda kwa ajili ya hilo tu…

.........................................................
-------------------------------------------------------------
Waugwana nilipotea hewani kwa sababu ya network kuwa mbaya, lakini pia kamatakamata ilikuwa imekuwa kubwa ikabidi nisepe niende mbali. Mpaka risasi zinazidi kuongezeka maeneo ya Nyasura Centre, baadhi ya magari ya askari yamearibiwa sana.

Polisi (JKT) wakisaidiana na viongozi wa CCM yaani Mwenyekiti wa Wilaya pamoja Mkuu wa Wilaya ya Bunda Ndugu Merumbe wameishakamata makamanda kadhaa na hivi ninavyoadika ni kuwa wako katika mateso makali. Taarifa hii imepatikana kutoka kwa mmoja aliyetekwa na kupelekwa kwenye ofisi ya CCM kufanikiwa kutuma message kupitia simu yake ambayo hakuweza kunyanganywa (alikuwa na simu mbili moja alinyanganywa na ya pili hawakuiona)

Aliyekamatwa mpaka sasa ni dada mmoja anayeitwa Joyce Sokombi ambaye ni mtangaza nia (anataka kugombea ubunge) pia ni kiongozi wa Chadema ni Msingi wa Kanda ziwa mashariki. Kijana mmoja ambaye tumefanikiwa kupata jina lake Jonathan Matiku, huyu inasemekana kaishapigwa sana hari yake ni mbaya. Utesaji huu unafanywa akiwepo DC wa wilaya ya Bunda LIVE. Mimi sirari kwa ajili ya kuleta taarifa hizi. Naomba taarifa hii mods uirudishe kwenye jukwaa la siasa na si vinginevyo. Makene na Yeriko nafikiri ni vema mkatoa msaada maana mpaka sasa inasikika hapa Bunda hakuna kiongozi yoyote wa Mkoa, Kanda au Taifa aliyefika kusaidia.
 
Msiwalegezee... waambieni makamanda wao sio wa kwanza kutekwa, kuteswa wala kuwekwa ndani. Pambaneni sawa sawa ili wasidhani kuwa wanaweza kuwashinda kwa vitisho na hujuma...

Mungu yuko upande wenu
 
Mods nimekuwa nikituma habari zangu halafu mnazifuta, hii si sawa ni kukiuka haki za watu kupata habari, naomba hii usiifute kabisa.Kwa ujumla mpaka sasa hali ya hapa Bunda hususani katika Kata ya Nyasura hali ni mbaya, Mkuu wa Wilaya akishirikiana na Mzee wa Wasira wamereta askari wengi kutoka JKT, askali hao ambao wamepewa kazi maalumu tofauti za zile za askari wengine, wao wamefikishiwa katika shule ya sekondari ya Bunda ndiko wanakoishi, lakini pia askali hao kwa sasa ndio wanaonekana wakirinda nyumbani kwa DC!! yaani DC hawaamini tena askari wake wa kawaida.Kimeingia kikosi maalumu kinachosemekana kimetoka ikulu, hiki kazi yake ni kutesa, kuua na kuteka. Kikosi hicho chenye watu takribani sita kimewasili Bunda toka tarehe 06 mwezi huu. Kikosi hicho kimepewa orodha ya majina ya watu wanaotakiwa kudhibitiwa, watu hao ni wale ambao wanaonekana wanaushawishi ndani ya Kata hiyo na ambawo hawaiungi mkono CCM. Chanzo cha taarifa hii kimevuja kutoka kwa kiongozi mmoja wa umoja wa vijana wa CCM ambaye alikuwa akimpigia simu baba yake ili amshawishi ndugu yake mmoja ambaye yuko kwenye orodha ya kushughulikiwa aweze kuondoka Bunda haraka.Wakati huu ninapoandika taarifa hii, mabomu ya machozi na risasi za moto zinapigwa huko Nyasura, inaonekana askari hao wanatumia magari ya CCM kutembelea, vijana kadhaa wameisha jeruhiwa, hali ni mbaya sana hapa Nyasura, nafikiri Wasira ameamua kusababisha vurugu ili uchaguzi usifanyike ili asipate aibuNtaaendelea kuwa update kinachoendelea Nyasura Bunda maana nimekuja Bunda kwa ajili ya hilo tu…

....

....Chadema ni Mpango wa Mungu ...Daima shetani hataweza !!!
 
Loh hii nchi tunakokwenda................!!!!!??
 
Kama hali ndio hiyo, inabidi Chadema nao watume Kikosi maalumu, mazingira ya namna hii inabidi nao watafute namna ya kujihami.
Kwa mtaji huo wa kutumia nguvu, CCM hawana chao tena 2015 huko Bunda, kwani wanawatengenezea Wana Bunda usugu.
 
ZCCM ni majanga matupu!! sanduku la kura itaongea kesho!!mti wenye!!!Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe
 
Back
Top Bottom