Hali ni baadhi ya majibu yaliyosababisha vijana wetu kufeli kidato cha nne 2012.

Sep 2, 2012
48
7
Mtihani wa Kiswahili.

SEHEMU E.

Eleza hatua za kuandaa Mdahalo.

Mwanafunzi kwa kutokujua maana ya Mdahalo akajibu hatua za kuandaa mdahalo kama ifuatavyo:

1.Unachukua mdahalo wako kisha unauosha vizuri

2.Hakikisha mdahalo wako haujakomaa sana.

3.Bandika Sufuria lako jikoni.

4.Weka mdahalo wako kwenye sufuria kisha uache uchemke kwa Dak 15.

5.Ipua mdahalo wako jikoni.

6.Mdahalo wako unaweza kuliwa kwa kinywaji chochote.
 
Watu wengine bwana. Acha kupost v2 usivyovijua. Unajidai kushadadia matokeo wakat hata kutumia booklet hujui. Tena inawezekana huijui. We nan kakwmbia kulikuwa na swal kama hilo? Umbea tu
 
acha nicheke mie, kwani ata kwa masanja nilikuwa sijui kama kapost huko
 
Watu wengine bwana. Acha kupost v2 usivyovijua. Unajidai kushadadia matokeo wakat hata kutumia booklet hujui. Tena inawezekana huijui. We nan kakwmbia kulikuwa na swal kama hilo? Umbea tu

Mbona jazba tena mkuu Ianirto? Hili ni jukwaa la jokes, punguza jazba. Haya matokeo ya mwaka huu yametuumiza wengi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine bwana. Acha kupost v2 usivyovijua. Unajidai kushadadia matokeo wakat hata kutumia booklet hujui. Tena inawezekana huijui. We nan kakwmbia kulikuwa na swal kama hilo? Umbea tu

Mdogo wangu, kunililia mm haisaidii. Hilo ndilo jibu ulilojibu. Km unadhani ulionewa kata rufaa uone km hutapewa hiyo FLD tena.
 
Watu wengine bwana. Acha kupost v2 usivyovijua. Unajidai kushadadia matokeo wakat hata kutumia booklet hujui. Tena inawezekana huijui. We nan kakwmbia kulikuwa na swal kama hilo? Umbea tu
utawajua tuu
 
Pengine kuna haja ya kuweka AGE LIMIT hapa JF!
ndo viongozi wetu wa kesho hawa: Hawajui wapi pa kuongea utani, wapi pa kudiscuss serious matters, na wapi pa kudanganya.....Hahaahaahaaaaaaaaaaaaaa!

Mbona jazba tena mkuu Ianirto? Hili ni jukwaa la jokes, punguza jazba. Haya matokeo ya mwaka huu yametuumiza wengi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watu wengine bwana. Acha kupost v2 usivyovijua. Unajidai kushadadia matokeo wakat hata kutumia booklet hujui. Tena inawezekana huijui. We nan kakwmbia kulikuwa na swal kama hilo? Umbea tu

Pole eh, ila ka umeuchemsha mdahalo wako ule tu..
 
Back
Top Bottom