Mzalendo wa TZ
Member
- Sep 2, 2012
- 48
- 7
Mtihani wa Kiswahili.
SEHEMU E.
Eleza hatua za kuandaa Mdahalo.
Mwanafunzi kwa kutokujua maana ya Mdahalo akajibu hatua za kuandaa mdahalo kama ifuatavyo:
1.Unachukua mdahalo wako kisha unauosha vizuri
2.Hakikisha mdahalo wako haujakomaa sana.
3.Bandika Sufuria lako jikoni.
4.Weka mdahalo wako kwenye sufuria kisha uache uchemke kwa Dak 15.
5.Ipua mdahalo wako jikoni.
6.Mdahalo wako unaweza kuliwa kwa kinywaji chochote.