Hali kama hii rais wangu ataposimama kama amiri jeshi mkuu ccm na watz watatii amri?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Kama nongwa ni ufisadi, ufisadi hakuanza JK wala awamu ya 4, ni zao linalotokana na sera mbovu za CCM na baadhi ya Watanania, na hata vyama vya upinzani.

Kama wizi wa kura ni mfumo unaolalamikiwa na wapinzani hata Mkapa alilamikiwa lkn mambo yalikuwa shuwari tu wakati wa utawala wake

Naona kila Anachopanga JK baadhi ya watendaji wa CCM na serekali yake huenda tofauti na anachoamua na kumfanya aonekane ndani ya jamii kama sio mtendaji mzuri.

1) Tumeona nia nzuri ya JK kuhusu katiba mpya Taifa, tumeona wapinzani walivyokuja juu hadi kufikia mambo kuharibika vyombo vya habar na hata baadhi ya wasomii waliokuwa kimya kipindi kirefu.

2)Swala la kuwafukuza wana CCM waliotuhumiwa na ufisadi baadhi ya vigogo wa CCM wameanza kupinga kauli ile na sasa wanataka kumhujumu ili aonekane ameshindwa kulivua gamba la CCM. Japo watz wengi watamtupia lawama Mwenyekiti.

3)Amri ya kuvunja uzio wa Jangwani. watendaji wa serekali hasa mawaziri ambao kisheria wanataka watumikie taifa. wamegoma kutimiza ahadi hizo.

Jee halii inavyotokea, endapo akatoa amri ya wanajeshi na watz tumevamiwa na kupambana na adui, kauli ya rais itakuwa na uzito?
 
Tatizo hayupo serious wala hawajibiki ipasavyo wala kuwajibisha watendaji wake kwa kumaanishaa...so hakuna amabaye atachukulia amri/agizo lake kwa uzito while anajua afanye asifanye yote ni sawa tuu.hamna atakaye tii amri kwa mwendo huu.
 
Mzee wahoja bana inaoneka raha yako ni kuanzisha at least thread 3 kwa siku eeh? Endeleea kazi njema
 
Back
Top Bottom