Hali kama hii itakwisha lini mijini?ni aibu kwa nchi yetu jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,351
33,187
Uharibifu.jpg

Takataka zikionekana katika moja ya makutano ya barabara ya Nyerere na Mtaa wa Chagga mjini Moshi. Mitaro na mifereji mingi mjini humo imekuwa michafu na kutoa harufu mbaya. (PICHA: SALOME KITOMARY
 
:embarrassed1:Aisee Mangi, na hapa tunaambiwa ndiyo mojawapo ya miji misafi kuliko hapa Tanzania:disapointed:
 
Uharibifu.jpg

Takataka zikionekana katika moja ya makutano ya barabara ya Nyerere na Mtaa wa Chagga mjini Moshi. Mitaro na mifereji mingi mjini humo imekuwa michafu na kutoa harufu mbaya. (PICHA: SALOME KITOMARY

Manispaa ya Moshi inasifiwa sana kwa usafi. Imekuwaje tena? Au viongozi wa Manispaa wa sasa wamelewa mafanikio!
 
Hao si ndo naambiwa wanapiga watu fine ya 50,000tshs ata kwa kutema mate!
Naona hapo kuna haja ya kuwapiga fine kwanza manispaa alafu idara ya maji taka kwa kuacha trench wazi
 
Nilisikiaga Moshi ndio mji msafi East Africa? Au wageni wa karibu wamechafua?
Uharibifu.jpg

Takataka zikionekana katika moja ya makutano ya barabara ya Nyerere na Mtaa wa Chagga mjini Moshi. Mitaro na mifereji mingi mjini humo imekuwa michafu na kutoa harufu mbaya. (PICHA: SALOME KITOMARY
 
Hilo ni tatizo kubwa kwa nchi yetu

Watu wanadhani ustarabu ni kuvaa nguo nzuri tuuuuuuuuu

Kumbe Matendo ya mtu ndio yanaonyesha ustarabu wake
 
Hivi mnataka kila kitu serikali tu. Anayekaa hapo anatakiwa kusafisha. huu ni ujinga kukaa kwenye uchafu na unategemea serikali wakusafishie ebo. Safisha mazingira yako.
 
sidhani kama itakaa iishe labda wakoloni warudi kutunyuka viboko sisi raia pamoja na viongozi wetu.
 
Back
Top Bottom